Ndalichako vs Pesa ya Field

Ndalichako vs Pesa ya Field

Samir7900000

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
52
Reaction score
26
Kukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?

Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko kabisa mujue..week imeenda sasa kesho ijumaa pia no any information concern this.

Maoni Tafadhali kuhusu vijana wetu.
 
Mama si kasema kuna watu hawana sifa so wataondolewa vyuoni
Kwa inawezekana haoni sababu ya kutoa pesa ya field wakati kuna watu hawarudi chuo.....
Wawape wenye sifa si list wanayo? Sasa na hawa wanafunzi kwann waende field wakat wanajua hawana sifa
 
Tulia kijana ngoja kwanza tukajenge uwanja wa ndege chato ndo tutawaingizia pesa yenu ya field
 
Wewe si ndio ulileta habari humu kwamba loan officer wako alikuambia mngelipwa jana alhamis? Imekuwaje tena, huu ushauri si ungempa hapo hapo?
 
Stori tu..jana kaenda akapewa karatasi zenye maelekezo na majina af akaambiwa hela tutawekewa direct kwenye ac zetu..ngoja nisubir sijui lini
 
Mama si kasema kuna watu hawana sifa so wataondolewa vyuoni
Kwa inawezekana haoni sababu ya kutoa pesa ya field wakati kuna watu hawarudi chuo.....
sio sahihi kabisa sababu tayr uhakiki ushakamilika kwa vyuo vyote,so sioni kama hiyo ni sababu ya msingi.kutokana na sababu kuwa tuliahidiwa pesa zitatolewa pini tutakapokuwa tunajiandaa na field kufikia tareh 8/8 ya juzi.huku ni kunyimana haki zetu za msingi za kupata fedha hizo then how we will live??
 
Tulia kijana ngoja kwanza tukajenge uwanja wa ndege chato ndo tutawaingizia pesa yenu ya field
dah kwa style ya uongozi wa awamu ya tano tuna shida kweli ndugu zanguni,maana vitu vilivyokuwa vinatajiwa vipewe kipaumbele kama mamb ya elimu ya juu na mikopo yani ndo hata rais haviongelew kabisa na wakat katka kamlen ndo zilikuwa sera kuu na mambo muhimu
tutakufa njaa ase wanafunzi
 
Hela tayariiiiii n account imesoma 310k..j3 job kwa nidham ya hali ya juu
 
Kukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?

Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko kabisa mujue..week imeenda sasa kesho ijumaa pia no any information concern this.

Maoni Tafadhali kuhusu vijana wetu.
sasa hivi tuko busy kuhamia dodoma na kujenga uwanja kule kanda ya ziwa!!! nyie komaeni tu mtatoka
 
Hivi na nauli wamekuwekea au hakuna.maana kama in hicho kiasi nadhani nauli ilitamkwa ili tufarijike
 
Hii 310k nadhan watamalizia baada ya mwezi
 
Hivi na nauli wamekuwekea au hakuna.maana kama in hicho kiasi nadhani nauli ilitamkwa ili tufarijike
Nauli mi sijui kwa kweli..nmepewa 310k bado 310k ndo ninachofaham..kwa wale wenye maden sasa
 
Back
Top Bottom