jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Anaweza kweli kukawa na hitlafu katika utendaji wake alipokuwa NECTA, lakini ni upuuzi kumtoa kwa sababu ya malalamiko yaliyoegemea katika udini.
I know Ndalichako, ni mchapakazi. Hongera Joyce.
wasiosoma wanaona anaonea dini yao, waliosoma wa dini hiyo hiyo wanamuona kichwa wanamkabidhi chuo cha kiislamu Aga khan.