Ndalichako awa Profesa

Ndalichako awa Profesa

Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.

Professor wa DIVINITY huyo......!!!
 
Mwisho wa ubaya aibu....watakuja tu kuaibika waliomfanyia fitina
 
aibu kwa waliomtoa kuwa anashusha elimu ya nchi, bora vyeti vyangu vilisainiwa na associate prof.

Tena siyo muda mrefu watatoka wao na kubaki wameduwaa njia panda, ni aibu iliyoje nchi masikini inawapiga teke wataalam badala ya kuwakumbatia kwa manufaa ya watanzania wote wao wanafukuza kwa manufaa yao binafsi
 
Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.

u prof wake hauna tofauti na u dr wa slaa
 
Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
kudos madame umetisha sana..
 
Hapa naona UKAWA inaingia mataribuni kwa mara nyingne.
 
Hapa naona UKAWA inaingia mataribuni kwa mara nyingne.

ebu soma tena ulichoandika, halafu soma tena kichwa cha habari ndio uje upya, nahisi ntakuonea nikikujibu, au kijana wa lumumba umechanganya threads.
 
Ameshindwa kuendesha baraza kwa ujinga wake hata km kungekuwa na elimu zaidi ya hiyo itabaki kuwepo kwny makaratasi ila hamna alichofanya zaidi ya kuboronga tu kutokana kufanya kazi kwa kuendeshwa na chuki na roho mbaya inayoongozwa na kumuamini roho mtakamoto
 
hiko chuo ata wewe ukitaka unakuwa proffesor wa JF

BIG UP PROF
Unajua nashangaa wanaompa hongera kwa kuwa hawajui alichokifanya baraza la mitihani. Halafu chuo chenyewe wanaompendekeza eti ni The Aga Khan jamani! Hapo hata wewe nenda tu unaukwaa uprof. Vyuo vingine bana. Utadhani IMTU tu
 
Jamani hebu acheni unyanyapaa kwenye dini. We are all the same before God.
 
Back
Top Bottom