Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 823
Congrats prof. J. Ndalichako
Aliyekuwa Katibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, amerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
kumbe u-Prof unatolewa Aga Khanhiko chuo ata wewe ukitaka unakuwa proffesor wa JF
BIG UP PROF
Professor wa DIVINITY huyo......!!!
CHADEMA
Yatosha
2015 tunamrejesha
Baraza
C.CM
mtajibeba
Endelea kujidanganya, Prof Ndalichako anasinga mbele na ni kada mahiri wa ccm inayowachukia waislam na kuwadharieisha ambayo wewe tahira ndio unayoisapoti kila kukicha,
Hongera Prof. Ndalichako! Pdidy kwa nini umebadiri avatar yako? Ile ilikuwa uniquehiko chuo ata wewe ukitaka unakuwa proffesor wa JFBIG UP PROF
Leo ndo kawa jembe?Hongera sana. Yule mama ni jembe!