logician mkuu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 792
- 221
Aliyekuwa Karibu mtendaji wa NECTA, Joyce Ndalichako, umerudi kwenye uwanja wa Taaluma. Moja kwa moja amepandishwa na kuwa Associate Professor wa Educational Evaluation & Measurement katika Aga Khan University.
Go go; the Sky is the limit Dr Ndalichako; wachana na haya makazi ya kisiasa.
...na bado kuna "uenye heri" unamsubiri.
hiko chuo ata wewe ukitaka unakuwa proffesor wa JF
BIG UP PROF
Tofautisha Profesa na La profeseli.