Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya 'Watu wabaya'

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.

Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.

Keep your enemies closer. Wait for the perfect time to finish them
 
Watu wapumbavu wanaoendelea kuisikiliza hii serikali haramu ni shida kubwa na wanafiki wanaofaa kuvikwa mawe na kutupwa baharini.

Muuaji Samia kamwe hawezi kuwa rais wa Tanzania. Siku moja atakamatwa na atajuta.

Bila kusahau wakuu wa vyombo vya uhalifu Tanzania (polisi, TISS) hawa watatafutwa mmoja baada ya mwingine.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.

Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
si anlindwa na majini!? maombi na majini vitakaa sehemu moja!?
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu.

Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa Uongozi wa Awamu ya Tano wa The Council Of Pentecostal Churches Of Tanzania (CPCT) iliyofanyika Ukumbi wa Agape Life Church Mbezi Jogoo, jijini Dar es Salaam.
Yes,
kama taifa yafaa kumuombea Dr.Samia Suluhu Hassan aweze kuchapa kazi ya kuwaletea waTanzania maendeleo bila kuchoka:KasugaYeah:
 
Watu wapumbavu wanaoendelea kuisikiliza hii serikali haramu ni shida kubwa na wanafiki wanaofaa kuvikwa mawe na kutupwa baharini.

Muuaji Samia kamwe hawezi kuwa rais wa Tanzania. Siku moja atakamatwa na atajuta.

Bila kusahau wakuu wa vyombo vya uhalifu Tanzania (polisi, TISS) hawa watatafutwa mmoja baada ya mwingine.
Hii mikwara inaanza na kuishia humu humu JF, huko mtaani maisha yanaendelea kama kawaida.

Wanaoiunga mkono serikali wapo wengi sana huwezi kuimaliza idadi kwa kutazama nani na nani yumo humu.
 
Nadhani mlitakiwa kutubu kwa Wananchi ni rahisi kuliko kuzunguka kuombewa mkienda kwa Wananchi na kuwaomba msamaha ni zaidi ya hizo Dua mnazoomba kila kukicha..
Kuanzia Feb7, Kitima na Lissu wamefungwa mikono yao, midomo yao, miguu yao na kila baya wanalolifiria juu ya ikulu lisifanikiwe. Huyu Askofu kapigilia msumali wa chuma kikali.
 
Back
Top Bottom