LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Kweli aendelee kuelimisha, lakini nafikiria nchi yangu Tanzania ni kubwa kuliko ninavyojua. Mtu aliyekulia Tanzania, kwa mazingira haya ninayoyajua, hata siku moja hawezi akashabikia BBA tena kwa kiwango cha asilimia mia moja. I need a break.Endelea kuelimisha watu kama huyu, kwani akikosa Big Brother atakufa?