Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,161
Nchimbi anaibuka leo baada ya dada yetu kugawa peremende mbele ya camera. Wakati Mwisho na Rich wanawapakua dada wa wengine, najua hata kina Nchimbi walikuwa wanashangilia kimya kimya - mfumo dume!
Kuna vipindi vingi ni ''kero'' kwa jamii, tukianzia na vya Television ya Taifa
Kuna vipindi vingi ni ''kero'' kwa jamii, tukianzia na vya Television ya Taifa