Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:
1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?
2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?