Nchimbi aanza ubabe

Nchimbi aanza ubabe

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
639
Reaction score
82
Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.

Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.

Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa wastaarabu hawakuwahi kuitumia
 
Wacha ifungwa manake sasa amani ya burundi na rwanda imerudi................... eanaotaka kuwa raia wa tanzania ruksa............ wanaotaka kurudi makwao ni juu ya serikali yao
 
Wenzenu walikuwa wanategemea sana uwepo wa kambi. Kufungwa kwa kamba kuna gusa moja kwa moja maisha ya watu. Ajira zimefungwa, sasa unadhani umati huu uliokuwa umeajiriwa unakwenda wapi????? Acheni kucheza na maisha ya wenzenu, watu wana familia, itakuwaje!!!!
 
Leo Nchimbi ametangaza
kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30
wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki
hapa nchini.

Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata
UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.

Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na
ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa
wastaarabu hawakuwahi kuitumia

We umeajiriwa na UNHCR nini? unahofia kibarua sio? wacha kambi ifungwe kwani sisi inatusaidia nini?
 
Sasa kama waziri anamamlaka ya kufunga kambi kwa nini asifunge, mimi nilijua amevunja sheria..Huu ukarimu ndio unatufanya tuwe maskini mpaka leo..mafisadi wanaiba pesa mnawaambia warudishe wenyewe badala ya kuwapeleka mahakamani...wauza madawa ya kulevya mnawafahamu hamuwachukulii hatua kisi huruma...Magufuli akitaka kubomoa nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara mnamzuia eti awe na huruma na wanainchi...kama sheria tulizitunga wenyewe kwa nini tuzisitumie.?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.

Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.

Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa wastaarabu hawakuwahi kuitumia

rudini kwenu.amani imepatikana kwenu.
 
Humu ndani watu wana roho mbaya sana you dnt care wamama na watoto wakimbizi
 
cost ya kuwahost wakimbizi ni kubwa sana
na hadhi yao ya kuwa wakimbizi ilishakoma
nchi zao zina amani warudi kwao wakajenge nchi zao
misitu yetu imeharibika vya kutosha
mauaji,ujambazi wa kutisha kwa sababu yao
let them gooo,goooo,nshakaa kigoma najua adha ya wakimbizi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wenzenu walikuwa wanategemea sana uwepo wa kambi. Kufungwa kwa kamba kuna gusa moja kwa moja maisha ya watu. Ajira zimefungwa, sasa unadhani umati huu uliokuwa umeajiriwa unakwenda wapi????? Acheni kucheza na maisha ya wenzenu, watu wana familia, itakuwaje!!!!

Da!! Sikutegemea kukutana na coment mfu namna hii.
 
Yupo sahihi,kama amani imejea makwao,kwa nini wang'ang'anie nchini kwetu?
 
Kumbuka kuna wengine wamwzaliwa tanzania na kukulia hapa waende burundi huko hawajui mtu
 
Leo Nchimbi ametangaza kufunga kambi ya Mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.
Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata UNHRC wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.




Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa wastaarabu hawakuwahi kuitumia

Huo sio Ubabe ila wewe inawezekana kibarua chako kimeota Nyasi ndo kinacho sababisha uje na Kilio
Teh teh Ubabe gani sasa hapo Mkuu?Tafuta kazi sehemu nyingine na Burundi kwa Sasa wana Amani hamna haja ya kuwa wakimbizi.
 
leo nchimbi ametangaza kufunga kambi ya mtabira....kambi hiyo ambayo iko kwa zaidi ya miaka 30 wamewafutia hazi ya ukimbizi baadhi yao pamoja na kuwa walitaka wabaki hapa nchini.

Nadhani sasa anaharibu heshima yetu ya ukarimu kwa wageni kwa kuwa hata unhrc wamekuwa chini chini wakionyesha kusikitishwa.


Kimsingi mwenye mamlaka ya kufutia mtu hadhi ya ukimbizi ni waziri na ndio kaitumia nguvu hio ambayo mawaziri wote waliopita walikuwa wastaarabu hawakuwahi kuitumia

unatoka nchi gani
 
Sasa hapo ubabe wa Nchimbi uko wapi. Wabongo banah. Vitu vingine mbona vya kawaida.
 
He has done the a good thing there is a lesson we learn in Congo conflict those people are not good for our country
 
Back
Top Bottom