Nchi zinazozalisha mafuta zaidi duniani 2022

Halafu Kuna mtu atakuambia USA wanaiba mafuta ya walibya
Hilo halina ubishi, mafuta pia ni kichocheo cha USA kuivamia nchi kama Iraq.
IMG_20220308_165609.jpg

Source:Lead-up to the Iraq War - Wikipedia

Na uFuatalia kuhusu mpango WA mwaka 1997 unaofahamika kama project for the new America Century.

USA ni mzalishaji mkubwa WA mafuta pia ni mtumiaji mkubwa WA mafuta kiasi cha kwamba mafuta wanayoyazalisha hayawatoshi.

USA ni nchi ya tatu duniani Kwa kuingiza mafuta toka nje kiasi cha mapipa milioni tano Kwa siku.
 
Back
Top Bottom