Mnamo mwaka 2018 Marekani iliipiku Saudi Arabia na kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta duniani,sababu kubwa ya kuzalisha mafuta kwa wingi ni utumiaji wa teknolojia ya kisasa ya uchimbaji mafuta ambayo kitaalam inaitwa'fracking'.
Kwa takwimu za mwaka 2020 Marekani ilizalisha kiasi cha mapipa ya mafuta milioni 16.5 kwa siku ikifuatiwa na Saudi Arabia mapipa milioni 11 na Russia(Urusi) ni ya tatu na mwaka huo ilizalisha mapipa milioni10.7 kwa siku,vilevile mwaka 2011 Marekani iliipiku pia Russia kwa uzalishaji gesi na kuwa nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ambapo kwa takwimu za mwaka 2020 ,Marekani ilizalisha gasi kiasi cha 947.7 billion cubic metres huku Russia ikiwa ni ya pili kwa kuzalisha 693.4 billion cubic meters za gesi mwaka huo na nafasi ya tatu inashikiliwa na Iran ambayo mnamo mwaka 2020 ilizalisha 253.8 billion cubic metres. Hivyo basi ile dhana kuwa waarabu ndo wazalishaji pekee wa mafuta mengi duniani haipo tena na vilevile wale walokuwa wanadhani Urusi inazalisha mafuta mengi na gesi kuliko Marekani wanapaswa kufikiri upya.
Vilevile licha ya Marekani kuongoza ktk uzalishaji wa mafuta na gesi duniani ieleweke kuwa Sio muuzaji No.1 wa mfuta duniani kwani nchi inayoongoza kwa kuuza mafuta (exports) ni Saudi Arabia ikifuatiwa na Urusi ,hii ni kwa sababu uchumi wa Marekani ni mkubwa mno kiasi kwamba sehem kubwa ya mafuta na gesi inayoyazalisha yanatumika ndani ya marekani.
Pia Marekani ina utaratibu wa kununua kias kidogo cha mafuta kutoka nje kwa sbb za kimkakati zaidi mf.( National strategic oil reserve ) nk.
Vivyo basi ile dhana miongoni mwa Watanzania kuwa Marekani anaiba mafuta Iraq,Libya , Afghanistan ni upotishaji mtupu na uongo usio na ukweli wowote.Ifuatayo ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa uchimbaji wa mafuta(crude oil) duniani kwa sasa
1) USA
2) SAUDIARABIA
3) RUSSIA
4) CANADA
5) IRAQ
6) CHINA
7) U.A.E
8) IRAN
9) BRAZIL
10) KUWAIT
Pia nchi 3 (top three countries)zinazoongoza kwa utoaji wa gesi duniani kwa sasa ni 1)USA,2)RUSSIA,3)IRAN.Katika eneo hili la gesi Tanzania inashika nafasi ya 71.
Ni matumaini yangu kuwa ndugu msomaji umesoma na kuelewa,nakaribisha maoni yenu.