Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa.

Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
JF ina moderator mwislamu,anafuta makala zote zinazoisifia Israel na makala zote za kidini kutukuza Uislamu ndo zimejaa humu,huyu moderator afukuzwe Kazi mara moja
 
Kule Colombia Marekani raisi wa chuo kikuu amesifia sana Hamas na kuilaani Israel sijui utasemaje hapo.
Kwa kifupi kama ni mtu unayefuata ukweli huwezi kupata cha kuisifia Israel ambayo imeshaua kwa uhakika watoto wa Palestina kwa miaka kadhaa.Hawa wanaosema wao wameuliwa kwa kuchinjwa wala hawajawaonesha.
 
wayahudi wamlilie myahudi mwenzao? Usilete vichekesho.

huyo waluwabambikia watu wakawaambia mungu wenu huyo. halafu ndugu zake mungu wakamfanyia uhuni waliowaaminisha kuwa huyo ndiyo mungu wenu. Dah, inasikitisha, mungu aliyelilia msaada kwa mungu wake.

Hakika duniani wajinga ndiyo waliwao.
Bado hamjasema naona unakwepa hoja ya waarabu wenzio kumlilia allah na hajaenda kuwasaidia kumbe mwenzenu allah kashakula kona na kuingia mitini, mngeanza kwanza kujisikitikia wenyewe kuhusu mliyodanganywa na yule mtume wenu mhuni na mshenzi wa tabia, yesu alikuwa myahudi ila haimaanishi wakristo wanawaabudu wayahudi wote na haijalishi wao wanaamini nini wanachoamini wayahudi hakiwahusu kabisa wakristo
 
Mbona zilishapelekwa Qatar kupitia bank moja ya Ulaya
Lini wamezuia tena Mkuu
Israel anajilinda hana muda wa kuivamia Iran. Iran kila mara inang'aka itaifuta Israel. Sasa Anderson afanye hivyo. Rudi kwenu Tanzania wewe uingereza siyo kwenu.
😄😄😄 Scandinavia ulisha ondoka au sio wewe
Mimi hata huko sio kwetu na kiswahili ni lugha mtu yoyote anaongea
Sio kila anaejua kiswahili ni mswahili boss wengine tulipita tu huko naongea lugha 5 sijui utaniweka wapi
 
Punguza uongo. US hajatoa pesa. Walichofanya ni kuachilia pesa za Iran zilizokuwa zinashikiliwa Mataifa mbali mbali.
Sasa mpaka kushushuana? 😄 kweli hizo ni hela alizozuia miaka lakini amebadili kwa wafungwa
Kama hazijaachiwa sijui maana mwisho nilisikia ziko Qatar
Tusiitane waongo ni kufahamishana tu najua kuna wayahudi wengi humu
 
Mbona zilishapelekwa Qatar kupitia bank moja ya Ulaya
Lini wamezuia tena Mkuu

😄😄😄 Scandinavia ulisha ondoka au sio wewe
Mimi hata huko sio kwetu na kiswahili ni lugha mtu yoyote anaongea
Sio kila anaejua kiswahili ni mswahili boss wengine tulipita tu huko naongea lugha 5 sijui utaniweka wapi
Basi utakuwa mrundi ulijilipua😂
 
Katika habari hizo wewe ni mtoto mdogo sana.Waulize viongozi wako wa kanisa wanaokimbia mkuku ikija hiyo mada.
Wewe tulia acha kuwa brainwashed Wakristo wanauhakika na maandiko yao, hawahitaji hekaya zako, wewe jiandae kwenda kubikiri 72 huko
 
Basi utakuwa mrundi ulijilipua😂
Ndio maisha mkuu
Msituchukie hivyo wakati nyie mmelalia dhahabu na almasi halafu hata maji na umeme hakuna halafu unaniambia nirudi Subutu
Hapa miaka 35 nilioishi umeme haujakata hata siku moja
Sijasimamishwa hata na polisi eti nirudi
Retirement yangu karibu naenda kuishi jirani tu hapa
 
wayahudi wamlilie myahudi mwenzao? Usilete vichekesho.

huyo waluwabambikia watu wakawaambia mungu wenu huyo. halafu ndugu zake mungu wakamfanyia uhuni waliowaaminisha kuwa huyo ndiyo mungu wenu. Dah, inasikitisha, mungu aliyelilia msaada kwa mungu wake.

Hakika duniani wajinga ndiyo waliwao.
Utaongea utakaukiwa lkn uislam Ni tatizo la dunia kwa Sasa.

Hakuna mahali penye uislam penye amani.

Hata Israel wangeondoka wakawaacha wenyewe watapigana tu.

Biblia Siyo kitabu Cha hadithi km kale kaquran mnakosoma kuanzia kulia kwenda kushoto.Kn hujajazwa yule roho mtakatifu utabaki unatafsiri Ujinga wako na kujipa faraja.
 
Wabaki kwao sasa, hivi inawezekana Mkristo kwenda na kuanzisha butcher ya kitimoto?

Ukienda Rome ishi kama Waroma.
Nenda tu, tena wayahudi wanapenda kweli mtu wa hivyo na mtaji watampa.

Watamfundisha pia nini maana ya kosher.
 
Utaongea utakaukiwa lkn uislam Ni tatizo la dunia kwa Sasa.

Hakuna mahali penye uislam penye amani.

Hata Israel wangeondoka wakawaacha wenyewe watapigana tu.

Biblia Siyo kitabu Cha hadithi km kale kaquran mnakosoma kuanzia kulia kwenda kushoto.Kn hujajazwa yule roho mtakatifu utabaki unatafsiri Ujinga wako na kujipa faraja.
Amani ipo Afrika Kusini au siyo?
 
Ndiyo ukweli wenyewe huo.
Umeshakunywa chibuku unajificha nyuma ya kibodi unajiona nawe Ni mpalestina.

Unajua mpaka mipaka.

Akili za Kihamas hizi.Israel ana haki yake km taifa jingine.Tusitake kuficha ukweli mkongwe kwamba wale Ni ndugu wanagombana.

Kiukweli Vita Siyo nzuri na wapalestina wanateseka mno, inatia huruma Sana lkn hata km Kuna ambalo wanadai lkn hao Hamas hawakupita hesabu zao vizuri. Hesabu za kipumbavu Sana.

Sababu huwezi mpiga adui YAKO akakaa kimya, na ukizingatia pia ana nguvu na back up kubwa kuliko wewe.

Ujinga mnawazungumza Wapalestina kidini badala ya kibinadamu. Mnaongelea waislamu wenzenu wakat huo uislam hauna Cha kuwasaidia wapalestina .

Iambieni dunia kwamba Kuna binadamu wanateseka wanadai haki ya taifa Lao. Lkn mkishaingiza dini mnaachwa na dini yenu mjitafutie suluhu.

Nb:nawaomba Waislamu waiandike Kiran yote km ilivyo kwa kuswahili au kiingerza au lugha nyingine tupate wasaa wa kuikalia na kuisoma.

Kusoma na yale ambayo huwa hamtamki kabisa kuhusu Yesuna mengine mengi.
 
Wameambiwa waondoke tu, kama vipi ndugu zao wapo wengi tu wawapokee, ila hao ndugu wasiunde allied kupigana na israel hali itakuwa mbaya zaidi. Magaidi ni wapumbavu sana hawakujua gharama za kufanya uchokozi

Sawa myahudi mweusi, ila usisahau katika hao wapalestina wanaopigwa wapo pia na wakristo wenzako
 
Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Mkuu sijaelewa hivi hii ni vita ya KIDINI
 
Acha kuleta udini na kutafuta huruma kupitia dini,wakati jamaa wa HAMAS wanawashambulia Israel mlikuwa mnawasifia HAMAS,kibao kimegeuka mnaanza kulialia.
Je hao HAMAS walitegemea reaction Gani baada ya kuishambulia Israel?Kwamba Israel ni wanawake wangenyamaza tu,HAMAS wamelikoroga huku wakiwa hawajajipanga acha walinywe wenyewe
 
Ndio maisha mkuu
Msituchukie hivyo wakati nyie mmelalia dhahabu na almasi halafu hata maji na umeme hakuna halafu unaniambia nirudi Subutu
Hapa miaka 35 nilioishi umeme haujakata hata siku moja
Sijasimamishwa hata na polisi eti nirudi
Retirement yangu karibu naenda kuishi jirani tu hapa
Sky Eclat ni jirani yako hapo reading
 
Back
Top Bottom