Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa.

Watajua wenyewe.Mimi nimewatahadharisha tu kwa uoni wangu.
Waisrael wapo kila kona ya dunia. Huyo Antony ukimfuatilia origino yake ni myahudi kwahiyo lazima asaidie nyumbani.
Waarabu huwa wanaua watu ambao ni raia kama pale Somalia, Nigeria na Sudani ambao hawana silaha ila wakisikia wanapambana na wanaume wenzao wenye silaha wanatoka nduki.
Waarabu wanaweza kujilipua kwenye mikusanyiko ya watu, kuvamia raia huko vijijini, wanaua, kubaka na kuiba mali. Tofauti na hapo hawawezi kupigana vita.
Unafikiri kwanini Zanzibar kulikuwa na Zanzibar revolution?
Watanzania wenzetu waliotekwa na magaidi wa Hamas wameachiliwa?
 
Back
Top Bottom