Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,096
- 62,035
Ok njoo tufanye mazoezi 😂Kwakweli inabidi tuwaambie ligi irudiwe😃😂😂😂😂
Ok njoo tufanye mazoezi 😂Kwakweli inabidi tuwaambie ligi irudiwe😃😂😂😂😂
Kama wanaangalia birth rate iko wapi Ethiopia, iko wapi Kenya.Wanaangalia birth rate [emoji28]
Waliwachungulia wakiwa wanaofanya mtihani?🤔Top 10 sexually active African countries
1)- Burkina Faso🇧🇫
2)- Cameroon 🇨🇲
3)- Uganda 🇺🇬
4)- Gabon 🇬🇦
5)- Zambia 🇿🇲
6)- Senegal 🇸🇳
7)-Nigeria 🇳🇬
8)-Sao Tome Principe 🇸🇹
9)-Republic of Congo 🇨🇬
10)-Tanzania 🇹🇿
Source: Top 10 sexually active African countries
Jiandae nakuja tupige tizi😃😃Ok njoo tufanye mazoezi 😂
Yani hata tukitiana kutwa mara 3 kama paracetamol, waganda hatuwafikii wale mbwa wanapenda kutiana balaaTafiti za kiwaki hizo
Hivi washatembelea usukumani waone moto wanaopeleka watani zangu?!! Kwanza wanawake 20 kwa mume mmoja, km King Mswati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawajatutendea haki kabisa sijapentraaaaaaa
At least tungekuwa wa pili[emoji57] yaani sisi wa kushindwa na Uganda kweliii?!!!!!
Warudie teena research zao shenzy kabisaaa
😂Pumbavu kabisa... Tanzania Namba 10... aibu hii... Mamlaka itazame hili jambo
Inabidi na washangiliaji wawepoJiandae nakuja tupige tizi😃😃
Sawasawa 🤣🤣😉Inabidi na washangiliaji wawepo
Twende 'out' basii, tukapate 'vibe' ya alhamisiSawasawa 🤣🤣😉
Tangulia nakuja😂😂😂Twende 'out' basii, tukapate 'vibe' ya alhamisi
Wa mwisho atakuwa wa kwanzaTop 10 sexually active African countries
1)- Burkina Faso🇧🇫
2)- Cameroon 🇨🇲
3)- Uganda 🇺🇬
4)- Gabon 🇬🇦
5)- Zambia 🇿🇲
6)- Senegal 🇸🇳
7)-Nigeria 🇳🇬
8)-Sao Tome Principe 🇸🇹
9)-Republic of Congo 🇨🇬
10)-Tanzania 🇹🇿
Source: Top 10 sexually active African countries
Wewe jamani dah😃😂😂😂🤣🤣🤣🙌Wa mwisho atakuwa wa kwanza
😀😀😀 unapenda nikuagizie kinywaji ganiTangulia nakuja😂😂😂
Chochote tu kinacholeta mshawasha😃😃😀😀😀 unapenda nikuagizie kinywaji gani
🤣🤣🤣🤣🤣weekend imeanza leoChochote tu kinacholeta mshawasha😃😃
😀 😀 usije kulalamika umeliwa kimasiharaChochote tu kinacholeta mshawasha😃😃
....nyuzi za ki-masihara katika nchi hizi zilihusika kwenye utafiti.Wanaangalia birth rate 😅
Hapana. Zambia ni kweli wanatuzidi kwa kupenda ngono. Ukienda Zambia huchelewi kuona wenyeji wakikufukuzia kama kuku na utaonq wnavyolalana hovyo kama kuku.Hii ni uongo bwana ..bongo ndio namba Moja .