Not kwasababu timing ya wazungu ilikuwa kubwa na nchi pia ni kubwa na hawakuwai kuiwekea uongozi imara wa mashinaniCongo pia wanapigwa sana katika madini
Jibu ni ufisadi ndiyo kiama chetuMwaka jana nilibahatika kwenda nchini Kongo na nikaweza kujionea mengi sana ambayo hapa nchini kwetu Tanzania hakuna na mojawapo la jambo hilo ni suala la umeme.
Kule Kongo karibia nyumba zote nilizofikia hakuna mita za umeme kama nchini kwetu. Nikapata shauku ya kutaka kujua kwanini nyumba zina umeme lakini hazina mita ikabidi nimuulize mkongo man mmoja ndipo aliponambia huduma ya umeme kule Kongo ni bure ndio maana wanatumia majiko ya umeme, heater nk.
Sasa nikaanza kujiuliza serikali yao wanawezaje kufanya haya yote wakati nchi yao ina vita muda wote na kwanini kwetu kuna amani lakini umeme tunatumia wa kulipia. Je, hatuwezi fanya kama Kongo ?
Je, hatuwezi fanya kama Kongo ?
What about minerals.... !??The Inga Dam, alone on the Congo River, has the potential capacity to generate 40,000 to 45,000 MW of electric power, sufficient to supply the electricity needs of the whole Southern Africa region. Ongoing uncertainties in the political arena, and a resulting lack of interest from investors has meant that the Inga dam's potential has been limited.
In 2001, the dam was estimated to have an installed generating capacity of 2,473 MW. It is estimated that the dam is capable of producing no more than 650–750 MW, because two-thirds of the facility's turbines do not work. There are plans to raise the Inga power station to 44,000 MW capacity by 2010. The African Development bank has agreed to supply $8 million towards it. The government has also agreed to strength the Inga-kolwezi and Inga-South Africa interconnections and to construct a 2nd power line to supply power to Kinshasa.
If harvested to its full potential, the hydroelectricity could provide power for the whole of Africa.
Kweli Bongo Bahati Mbaya BBMMkuu Kule Ni Bure Umeme Na Raia Wanatumia Majiko Ya Umeme Hakuna Majiko Ya Mkaa