Nchi ya Kongo kuna vita, wanawezaje kutumia umeme bure bila kulipia?

It's a matter of choice, Wamechagua umeme bure sisi tumechagua elimu na afya bure. Mfano, Nigeria afya unalipia lakini unaweza kukuta kuna vitu ambavyo ni bure au hawatozwi kodi kama sisi.

England elimu ya chuo unalipia lakini Scotland ni bure. Ni swala la kuchagua.

Hata hao Congo labda wanashangaa Tanzania wamewezaje kufanya elimu bure wakati hao wana rasilimali nyingi!

Siku hizi Tanzania huduma za afya ni bure? Hongereni sana.
 
Watanzania wameamua kuchagua viongozi waliofoji vyeti na wasiokua na uwezo wa kufikiri.
Mtu kama Chenge anaongoza kwa ufisadi lakini achukuliwi hatua,unadhani Tanzania itaendelea uku mafisadi wakikumbatiwa?
Gesi tuliaminishwa itanza kusambazwa majumbani na nyingine kuzalisha umeme. Mpaka sasa hakuna kitu kama icho,umeme wa gesi ni mpaka 2027 ndio utanza kuzalishwa kama hiyo gesi itakuepo.
Viongozi wetu ndio waliofikisha Taifa hapa lilipo,Taifa linazidi kuwa maskini,wananchi wanazidi kunyonywa kwenyw kodi wakati kuna rasilimali za kutosha.
Tanzania kichwa cha mwendawazimu.
 
Umeme kwetu ni gharama kwa savant,shirika la umeme linanunua umeme kutoka kampuni binafsi, na gharama yenyewe inaiumiza shirika la umeme hadi wananchi.
Na sekta ya umeme mikataba mibovu imeongeza gharama za uendeshaji ndani ya TANESCO, na uchumi wa nchi.
 
Co Congo tu ata Mozambique mm nililiona ilo umeme bule,nguzo bule na serikali ndo inaamasisha watu watumie majiko ya umeme ili waache matumizi ya kuni na mkaa.Kwa iyo wenzetu wako vzr.
Mozambique hata vifaa vyote vya solar energy hawatozi kodi.... Ukiingia vijijini ambako hakuna umeme wa grid ni solar kwa kwenda mbele
Unaamini Kuwa Elimu Yetu Ni Bure? Mbona Advance Na Chuo Tunalipia?

Wakati Kwenye Zahanati Unalazimishwa Kununua Kadi Kabla Ya Huduma Na Ukihoji Kwanini Wanakuambia Ndo Utaratibu Wao Wakati Kule Mikoani Unaenda Na Daftari Lako Mwenyewe Lakuandikisha
 
Mwaka jana nilibahatika kwenda nchini Kongo na nikaweza kujionea mengi sana ambayo hapa nchini kwetu Tanzania hakuna na mojawapo la jambo hilo ni suala la umeme.

Kule Kongo karibia nyumba zote nilizofikia hakuna mita za umeme kama nchini kwetu. Nikapata shauku ya kutaka kujua kwanini nyumba zina umeme lakini hazina mita ikabidi nimuulize mkongo man mmoja ndipo aliponambia huduma ya umeme kule Kongo ni bure ndio maana wanatumia majiko ya umeme, heater nk.

Sasa nikaanza kujiuliza serikali yao wanawezaje kufanya haya yote wakati nchi yao ina vita muda wote na kwanini kwetu kuna amani lakini umeme tunatumia wa kulipia. Je, hatuwezi fanya kama Kongo ?


Unaifahamu Inga Dams...? au unaongea kishabiki tu
 
Duh,inabidi sasa tuachane na kagame,Tuombe urafiki na wacongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom