ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,044
- 6,297
Hahaha hatari sana,.Mi nwenyewe nimeshangaa.. ushuru wa gari unaweza ukakupeleka taasisi ya moyo ya jakaya kabisa..
Hahaha hatari sana,.Mi nwenyewe nimeshangaa.. ushuru wa gari unaweza ukakupeleka taasisi ya moyo ya jakaya kabisa..
Mimi ni interested party kwa issues involved with powers, as a matter of interest,Binafsi nakiri kwamba ktk mkakati wa kuhakikisha Bandari ya Tanga inakufa kiuchumi Mimi nilishiriki Kama kinara namba moja. Master plan. Na kilichosababosha ni dharau ya kamishna mmoja tu aliyekuwa pale wakati ule. Na nilimtaarifu wazi wazi kwamba, kwa kuwa amenidharau kwa kiwango kile nilitaka kumwonyesha kuwa najua mambo mengi kuliko yeye. Na baada ya miezi 6 tu bandari ilikufa. Mpaka Leo, ananiita Kamanda . Na sasa hivi kazi Hana. Anatia huruma. Na mpaka Leo bandari ya Tanga iko hoi. Kifupi sipendi dharau!. Na nikiamua iamke pia itaamka. Ni Suala la ushirikiano tu.
Unamjua Jiiwe au unamsikia?Marehemu raisi wa kwanza walimpachika jina la HAAMBILIKI huyu nae anatatizo la kuamini kuwa washauri wake wanamdanganya kumbuka alishasema ukimshauri na akagundua umemshauri vibaya anakutimua hivyo anaachwa aamue mwenyewe.Kwenye Korosho, Mimi nilishakuja na Mada hapa. Kwamba. Waliomshauri Raisi, wanatakiwa kuwa Gerezani na Viboko Juu. Kumbuka Raisi siyo mfanyabiashara, ila Ana washauri wa biashara na mishahara wanalipwa. Hawa hawana tofauti yoyote na Wahujumu uchumi.