GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,036
Sidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Makatibu wakuu ndiyo kila kitu, hao mawaziri wao kuzurula ndiyo shughuli wanayoiweza. Per diem!Hao mawaziri wana mchango gani zaidi ya kuongeza matumizi makubwa serikalini?
Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?We umejuaje Kama hawaamini kwani we upo kichwani kwake?
Rais wa taifa hapangiwi cha kufanya hio ni kazi yake wewe mwananchi kazi yako ni kuishi tu na kujenga nchi.Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?
Yeye ndio kila kitu, siyo lazima kuwe na mawaziri.Kama ulishazunguka nchi nzima na Kuwanadi huku ukiwaomba Watu wakuchagulie na wakakuchagulia kwanini leo upate shida Kuteua wanaofaa?
Katiba inataka wawepoHao mawaziri wana mchango gani zaidi ya kuongeza matumizi makubwa serikalini?
Katiba imempangia kazi, kutotenda vile katiba inavyotaka sio kuvunja katiba??Raisi wa taifa hapangiwi Cha kufanya hio Ni KAZI yake wewe mwananchi kazi yako Ni kuishi tu na kujenga nchi
Lakini hakuna sehemu imesema kwamba mwisho wa uteuzi ni tarehe fulani hivyo wananchi tusubiri.Katiba imempangia kazi, kutotenda vile katiba inavyotaka sio kuvunja katiba??
You're a Dame Fool.Raisi wa taifa hapangiwi Cha kufanya hio Ni KAZI yake wewe mwananchi kazi yako Ni kuishi tu na kujenga nchi
Katiba inataka wawepo mkuu.Hata Kama JPM hawataki analazimishwa na katiba kuwaweka, ndo maana aliapa kuitii katiba.Hao Mawaziri wamekutuma uwasemee ili wateuliwe haraka au? kwanza hakuna umuhimu wa wao kuwepo mbona Makatibu Wakuu wanatosha tu, hawana la maana hao zaidi ya matumbo yao ngoja hela za Mishahara yao ya miezi kadhaa ambayo wangelipwa zifanye kazi za maendeleo