Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,857
Hawa ndio waliokua wanashabikia "mitano tena".
Ahaaa 😂
Hawa ndio waliokua wanashabikia "mitano tena".
Hata mmoja anatoshaKuna kipindi nchi imeendeshwa bila gigiro na watu wanne tu
Ni takwa la kikatiba. HatukwepiMi nadhani hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri, hakuna kazi wanaofanya zaidi ya kula salary free. Makatibu wa wizara wapige kazi
Alisema hataki kupangiwa. Makatibu wakuu wanafanya kaz za mawaziri. Mwacheni Tanzania sas ni shamba lake atafanya atakavyoSidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Sidhani kama ni afya sana/ ni sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Nahisi Akili pekee ulizonazo tu ni zile za Kubadili Pedi ikijaa na Kuosha Mbunye kama ikiwa inatema ila Kwingineko una Upumbavu ule usiovumilika.Hamna haja ya mawaziri. Wanamaliza hela tu.
Akamwagiwe vizuri.Ukafanye nini mkuu
Mwezi mmoja na siku kadhaa zinaendelea kuonyesha shauku ya watanzania kuona viongozi wasaidizi wa mkuu wa nchi na waziri mkuu walitangazwa na kuwaona wakifanya kazi, baada ya Rais kuwatangaza na kuwaapisha mawaziri wawili, waziri wa fedha na mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, wakitegemea siku si nyingi majina ya wateule wengine wapo ubaoni.
Wajuzi na wachambuzi wa mfumo wa kiuongozi wameongea na kujadili mengi ila uhamuzi lazima unafanywa na walioshika mpini.
Kuanzia leo jioni au teseme mwishoni mwa juma hili balaza jipya linaenda kutangazwa na kuna baadhi ya mabadiriko yanaenda kuonekana kwa viongozi wengi waliokuwepo hapo nyuma kukatwa na kuwekwa mawaziri na manaibu wapya kabisa.
Tega sikio kujua nani ni nani ndani siku hizi mbili ndani au nje balaza linapotangazwa.