Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Sidhani kama ni Afya sana / ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri ( Cabinet ) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Nahisi amerudi utotoni kwa kucheza ule mchezo wa ana anadoo katika kufanya uteuzi
 
Katiba ya JMT unasemaje kuhusu uteuzi wa Baraza la mawaziri baada ya Rais kuapishwa. Je ni muda gani ili kuundwa Baraza la mawaziri?
Linasema pale tu Rais akishathibitisha kuwa Wewe mwana CCM Mwenzake Akili zako zimekaa vyema kutoka katika Utahaira wako ndiyo awateue.
 
Sidhani kama ni Afya sana / ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri ( Cabinet ) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Hana shida nao.

Wale ni kama geresha tu, unadhani wanaweza kufanya jambo lolote ambalo sio la kutumwa tumwa kama vibaraka?

Kwanza baraza kitajaa kina halima mdee na kina ester watakuwa manaibu.
Watu kama hao ni kama bendera
 
Back
Top Bottom