Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Hao Mawaziri wamekutuma uwasemee ili wateuliwe haraka au? kwanza hakuna umuhimu wa wao kuwepo mbona Makatibu Wakuu wanatosha tu, hawana la maana hao zaidi ya matumbo yao ngoja hela za Mishahara yao ya miezi kadhaa ambayo wangelipwa zifanye kazi za maendeleo
Katiba ya Tanzania inasema kuwa nchi inaweza Kutawalika na Makatibu tu Wakuu na Mawaziri hawana Umuhimu? Halafu nikiwadharau mnachukia.
 
Katiba inataka wawepo mkuu.Hata Kama jpm hawataki analazimishwa na katiba kuwaweka, ndo maana aliapa kuitii katiba
Mkuu umepoteza sana muda Kumjibu na hata Kumuelimisha huyo Juha ( Mpumbavu ) hivyo. Rais ateue upesi Mawaziri na hatutaki blah blah hapa.
 
KUNA HUDUMA YOYOTE UNAKWAMA KUIPATA TOKA SERIKALINI KWA SABABU HAKUNA MAWAZIRI?
Katiba ya nchi na ambayo Rais JPM aliiapa inasemaje kuhusu kuwa na Cabinet? au labda Wewe ulikuwa nae Bedroom na akakuambia siyo Muhimu?
 
kwani mpaka sasa muda uliowekwa na katiba kuhusu kuunda baraza umepita mpaka uanze kudai, au na wewe ndo walewale unaandika chohote tu muhimu kwako ni jero ya bando tu?
 
Katiba inataka wawepo mkuu.Hata Kama jpm hawataki analazimishwa na katiba kuwaweka, ndo maana aliapa kuitii katiba
Kwani mmeambiwa hateui mawaziri? Vihelehele vya nini? Nyie ndo mmepewa kuongoza nchi? Mwache ajiridhishe na anachokitaka. Mnataka afanye haraka ili iwe nini.
 
kwani mpaka sasa muda uliowekwa na katiba kuhusu kuunda baraza umepita mpaka uanze kudai, au na wewe ndo walewale unaandika chohote tu muhimu kwako ni jero ya bando tu?
Tena huenda nikawa Mimi ndiyo nampenda na kumkubali zaidi yako Rais JPM na CCM yake ( yetu ) kuliko Takataka Ngumu kama Wewe hapa JF.
 
Back
Top Bottom