Ndio usome somo la siasa ya kwamba Urais unaandaliwa na hivyo vyama vyenu ni vumbi la macho tu kutekeleza agizo la nchi za magharibi lakini hakuna Upinzani pale ni ushindani kaa klabu za mpira..Hebu jiongeze kidogo basi
kama kitengo kiko sahihi leo kumuondoa Lowasa
kitengo kinaaweza kesho kumuondoa mwingine kwa sababu ambazo sio sahihi
je wao kitengo nani kawapa mamlaka?
wao ni wasafi kiasi gani?
mbona Ngeleja hana tofauti na Lowassa na kitengo wamemtumia?
Mkuu hili lingewezekana tu kama nchi yetu ingekuwa haina uadui wa vyama vya siasa. Vyama vingeundwa kuleta denmokrasia nchini wakati Usalama wa taifa wapo kulinda NCHI na katiba iwe msingi na mwongozo wa kiutawala lakini kwa hali iliyopo vyama vya Upinzani havikubaliani na NCHI hii na wamezua uadui usokuwa na maana kabisa.Ndio maana mi naamini hii nchi haitapiga hatua kidemokrasia wala kiuchumi hadi nafasi za kiutendaji zitakapoachwa kuongozwa kisiasa...
Usalama wa taifa, polisi, jeshi, TAKUKURU, mahakama, watendaji wa bunge, wakuu wa mashirika na taasisi za umma nk ... wote wapo affiliated kwa chama kimoja cha siasa...
Ili hali hii iweze kuondoka ni lazima wananchi wawezeshwe kukidhoofisha chama hiki kwa kukipunguzia sauti kwenye vyombo vya maamuzi kuanzia chini kabisa kwenye ngazi za halmashauri za vijiji, za wilaya na bunge...
Kuna vitu vinajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi
ambavyo vinapaswa kuulizwa
je nikweli wananchi wa Tanzania ndio wasemaji wa mwisho wa masuala ya nchi hii?
au kuna watu kwa aakili zao na utashi wao wamejipa 'jukumu' hilo?
Kingunge alisema 'KITENGO' ndio kiliamua nani awe mgombea wa CCM na sio
wanachama......na Ukisoma gazeti la Raia Mwema wanasema watu wa 'usalama'
walimwambia Ngeleja awaambie wazanzibar kumchagua 'mgombea wa kitengo'
ndio akashinda....maswali yanajitokeza
1.kitengo kinaendeshwa na nani hasa?
2.Ni watu wangapi wanaofanya hayo maamuzi?
3.Ni kweli maamuzi yao yote ni kwa faidaya Taifa?
4.Wananchi wakipishana maamuzi na 'kitengo' maamuzi ya wananchi yataheshimiwa?
5.Nguvu ya 'kitengo' kwa tume ya uchaguzi ni halali?
6.kuna faida ya kushiriki uchaguzi huku 'kitengo' kimeshafanya maamuzi?
7.Je tuna demokrasia kweli au tunaruka ruka ttu na maigizo?
Uchaguzi ni ule wa Dodoma tu
mengine yoote ni maigizo matupu
Kuna vitu vinajitokeza kipindi hiki cha uchaguzi
ambavyo vinapaswa kuulizwa
je nikweli wananchi wa Tanzania ndio wasemaji wa mwisho wa masuala ya nchi hii?
au kuna watu kwa aakili zao na utashi wao wamejipa 'jukumu' hilo?
Kingunge alisema 'KITENGO' ndio kiliamua nani awe mgombea wa CCM na sio
wanachama......na Ukisoma gazeti la Raia Mwema wanasema watu wa 'usalama'
walimwambia Ngeleja awaambie wazanzibar kumchagua 'mgombea wa kitengo'
ndio akashinda....maswali yanajitokeza
1.kitengo kinaendeshwa na nani hasa?
2.Ni watu wangapi wanaofanya hayo maamuzi?
3.Ni kweli maamuzi yao yote ni kwa faidaya Taifa?
4.Wananchi wakipishana maamuzi na 'kitengo' maamuzi ya wananchi yataheshimiwa?
5.Nguvu ya 'kitengo' kwa tume ya uchaguzi ni halali?
6.kuna faida ya kushiriki uchaguzi huku 'kitengo' kimeshafanya maamuzi?
7.Je tuna demokrasia kweli au tunaruka ruka ttu na maigizo?
Pengine walijua kura za Magufuli zisingetosha kutokana na hasira za waliokuwa wana muunga mkono Lowasa,na hii ingesababisha kupatikana mgombea dhaifu zaidi miongoni mwa wale kina Mama, huu ni mtazamo wangu kwamba kura zilipigwa na matokeo kutoka kwa staili ile kwa kusudi maalum,Halafu hujiulizi kura za Asha Rose na Amina zilipungua?
kuingia tano bora Asha kura 280 halafu eti baadae akapata kura 50?
huoni hii results ya kutengenezwa ili Magufuli aonekane ana support?
hiyo ni kazi ya poliziKwanini wasubiri hadi uteuzi wa Rais ndo washiriki?
why wasizuie mafisadi wote before?
au kushinikiza wafungwe jela?
Hakuna kitengo wala kitenge hao wazee ni wezi mfano wa pakashume lengo lao ni kuweka mtu msikivu kwao na si msikivu kwa wananchi. Awamu hii watajibeba. Kwa akili yao wanajiona eti wanamaono kuliko Wanachama na wapenzi wa CCM mamilioni walioko Tanzania. Kwanza natangaza katika idadi ya wanachama wa CCM nchini watoe jina langu.
Uwezekano wa hili ulosema ni mkubwa sana Kiongozi na hii ina ukweli ndani yake.Hakuna kitengo wala kitenge hao wazee ni wezi mfano wa pakashume lengo lao ni kuweka mtu msikivu kwao na si msikivu kwa wananchi. Awamu hii watajibeba. Kwa akili yao wanajiona eti wanamaono kuliko Wanachama na wapenzi wa CCM mamilioni walioko Tanzania. Kwanza natangaza katika idadi ya wanachama wa CCM nchini watoe jina langu.
UKAWA ni kama hawajui wanachofanya nimaigizo tu
KITENGO ndio final say wa maamuzi ya nchi
Faida ya wengi?
Ambao wakistaafu kwenye ujaji wanakuwa watia nia wa CCM(Augustino Ramadhani)...ambao wakistaafu kutoka ukuu wa majeshi wanakuwa wagombea ubunge through CCM(Robert Mboma)...ambao wakistaafu u-IGP wanagombea ubunge through CCM(Omar Mahita)...ambao wakistaafu ukurugenzi wanakuwa watia nia wa uraisi through CCM. Wengine wakistaafu u-RPC wanapewa u-DC(Zelothe)
Kweli kama ulivyosema...ni wengi na ni haki yao kabisa kwa manufaa mapana ya nchi na kwa muda mrefu!
What was the motive??!!!Hans Kitine alikuwa mkuu wa Usalama wa Taifa akaenda chukua fomu za kugombea Urais CCM
na Agustin Mahiga alikuwa deputy wa Usalama wa Taifa
akachukua fomu CCM
Mkuu umeisoma sheria ya 1996 inyoongoza shughuli. . . . ??!!!Kwanini wasubiri hadi uteuzi wa Rais ndo washiriki?
why wasizuie mafisadi wote before?
au kushinikiza wafungwe jela?
The Boss ila inabidi tuwashukuru sana hata hivyo. Nchi yetu bado haijakaa sawa kuwaachia wanasiasa wafanye watakavyo. Kwa hiyo ushiriki wao hasa kwa chama ambacho bado kina nguvu sana kwenye dola ni muhimu.Kitengo kikiacha hii kazi tutanyukana muda si mrefu. Wanajua wanachofanya na wanakifanya kwa manufaa ya nchi na si kwa CCM. Tuwapongeze na tuache kuwatifua tifua. Wanaona mengi ambayo hatuoni. Mfano Mzee Mkapa alivyowaambia Wa NEC kwamba Kikwete anafahamu mengi kulio WANEC. Pia Mzee Karume alisema kwamba kuna mambo yakiwekwa hadharani watu wataishia kudhalilika. Ndo maana Lowassa yupo Kimya. Ila wafuasi wake wenye ufahamu mdogo ndo wanapiga kelele. Iwapo madudu ya baadhi ya wagombea yakiwekwa watabaki uchi. Ni mara kumi watu wasijue ili hawa wagombea waendelee kubaki n aheshima kwenye jamii
Hiko kitengo kipo CCM tu!?
Kitengo hakiwezi kuchagua wapinzani?
Double standards hizi.