Nchi imesimama soon inazimia

Wanaona rais mama,makamu hajui kuongea ni mpole,Wazir mkuu msemaji-semaji tuu sio mtendaji... kunawatu wanachoweza zaidi nikuchonga nywele na kuongea kiukiongozi lkn nikama walimu wa darasa tuu
 
We kahangaike na maisha yako huna unalojua umejaa tu chuki na serikali ya mama. Bajeti yenyewe hata husikilizagi au pengine huelewi kinachojadiliwa. 2025 utakuwa umechoka wewe.
 
Wanaona rais mama,makamu hajui kuongea ni mpole,Wazir mkuu msemaji-semaji tuu sio mtendaji... kunawatu wanachoweza zaidi nikuchonga nywele na kuongea kiukiongozi lkn nikama walimu wa darasa tuu
ulitaka mama awe rais? mwambie agombee 2025, mipoyoyo tu nyie
 
CCM Hoiiiiiii!
 
ulitaka mama awe rais? mwambie agombee 2025, mipoyoyo tu nyie
We lofa tuu swala sio mama swala nimajizi na mengi nisisi wanaume...mtangulizi wamama mwenyewe alikuwa "sifu" ila alitaka aibe yeye mwenyewe. Mama Yuko imara tatizo matendaji majina na wananchi wasiojielewa.
Walimu walipaswa kuandamana kupinga wizi mkubwa huku shule ziko hoi nawatoto wanashinda njaa,hivyo hivyo madaktari,manesi nk.
Wananchi hamuwezi kupinga mafisadi mnachojua kumpigia kelele rais,Wewe umefanya Nini kukataa wizi mkubwa na utensaji mbovu
 
Wanaona rais mama,makamu hajui kuongea ni mpole,Wazir mkuu msemaji-semaji tuu sio mtendaji... kunawatu wanachoweza zaidi nikuchonga nywele na kuongea kiukiongozi lkn nikama walimu wa darasa tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama anahusika kwa 100%, panapokuwa na kitu kizuri anasifika yeye badala ya wasaidizi wake, panapokuwa na uchafu mnasema wasaidizi wake.
Viongozi wote wa chini wanaangalia juu wanaiga tabia yako. Anafaidika kwa yote yanayoendelea Kwasasa.
 
Tutawanyoosha tafuteni pesa acheni kelele, tumewashika pabaya hamtaki nendeni msituni imeisha hio
 
Na wewe amka kapige usizubae kulalamika hakutakusaidia lolote, inuka nenda kazipige!
 
Sasa hivi ukijaribu kukosoa utaitwa sukuma gang as if wote humu ni politician.wacha wale kabisa.
 
sisi wana chato hatuna cha ku comment hapa
 
Katiba inasema Rais akifa Makamu wa Rais atashika urais kipindi chote. Ndicho kilichowapata vumilieni shindano iwaingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…