Nchi imeoza. Kila kitu kinaenda mrama

Nchi imeoza. Kila kitu kinaenda mrama

Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!
Ina maana tukiona

Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!
Kama wewe unalamba asali, tunaomba ulambe kimya kimya pumbavu mkubwa sana wewe.
Watu tunahangaika na maslahi ya nchi halafu wewe uko kutisha tisha watu..
Kwa hiyo S.A ndo kipimo cha kuipimia nchi yetu?
Mbona awamu iliyopita umeme haukuwahi kukatika kwa kipindi chote cha miaka 5?!
Acha ujuha
mkuu kuna mijitu ya ajabu sana
kwa hiyo huyo jamaa ana maanisha watu wasiongee kuhusu tunayo yaona? watu wakae kimya huku nchi haiendi sawa
 
Mchele wetu ambao ukipikwa unanukia wameuziwa wakenya alafu sisi tumelewa Mchele ukiuweka mdomoni hauna harufu Wala Radha
Hi nchi imeshapoteza muelekeo Kila mtu anafanya anachotaka
 
Nchi IPO imara na inasonga mbele kimaendeleo katika kila secta chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais mama samia suluhu Hassani,huduma za kijamii Ni Bora na zinaendelea kuboreshwa na kusogezwa karibu ya mwananchi.

Kwa Sasa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 vimejengwa nchini kwote na kupelekea wanafunzi wote wanaofaulu kuanza masomo kwa pamoja,Elimu Ni bure Mpaka kidato Cha sita,bajeti ya mikopo ya Elimu ya juu imeongezeka na kufikia billioni Mia sita 54, wanafunzi wote wenye sifa wanapata mikopo bila shida.

Vituo vya Afya vimejengwa kila Kona,zahanati kila Kijiji na mtaa, huduma za kibingwa zimeboreshwa na kutolewa hapa hapa nchini badala ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi, madawa na vifaa Tiba vipo vya kutosha mahospitalini bila kusahau wataalamu wa Afya ambao wamekuwa wakiajiriwa na serikali hii ya Rais Samia kila wakati,

Ukienda katika kilimo Ni Tabasamu na matumaini tupu hasa baada ya kutoa mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini pamoja na kuongeza bajeti ya kilimo kufikiA billioni Mia Tisa na point ,Bei nzuri ya mazao kwa wakulima.

Ongezeko la mapato kufikia Trioni mbili kwa Mwezi pasipo kukimbizana Wala kufungiana biashara mitaani,hii yote Ni kutokana na ushupavu na umadhubuti wa serikali ya Rais Samia,kujenga mazingira mazuri ya kibiashara, mahusiano mazuri na wafanyabiashara n.k

Kuvutia wawekezaji na watalii,kwa Sasa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia na serikali yake imeifanya Tanzania kuwa chaguo namba moja la wawekezaji na watalii hasa baada ya kufanyika juhudi za makusudi za kuitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kupitia wazo la mh Rais la Royal Tour.
Wewe ni Chawa na Kiroboto Mpumbavu tu. Shenzyyy
 
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Mbona hulinganishi ila unasimulia hadithi za wafu na walio hai?

Mtu aliyeshindwa kujenga madarasa na kutoa Ajira ana maana yeyote hapa Duniani?
 
Tuendelee kunywa supu bandugu nyama tutaziona tu chini labda mwiguku azilambe😁
 
Huo ndiyo ukweli nawaambia. Na ndiyo hapo malalamiko yangu yanalenga. Siyo muumini wa chama chochote au mlengo wowote wa kisiasa
 
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Kila kitu kimesimana 😁😁😁
 
N
Miaka mingi uko JF, ila hata akili hujaongeza kidogo, pumbaf ww, iweje unaongea uongo wa wazi, yaani reference yako ni report ya CAG ndio useme nchi imeoza? Huna adabu wewe, omba radhi haraka
Nchi imekuwa kama jalala... inanuka rushwa kila mahali. Bi tozo hana la maana ni bure kabisa.
 
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!
Ina maana tukiona

Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!
Kama wewe unalamba asali, tunaomba ulambe kimya kimya pumbavu mkubwa sana wewe.
Watu tunahangaika na maslahi ya nchi halafu wewe uko kutisha tisha watu..
Kwa hiyo S.A ndo kipimo cha kuipimia nchi yetu?
Mbona awamu iliyopita umeme haukuwahi kukatika kwa kipindi chote cha miaka 5?!
Acha ujuha
Bora umesema mkuu..kuna mijitu hovyo kabisa,yaani eti tuone ni sawa umeme kukatika nchini kwetu kisa S.A nako unakatika.

Halafu ilivyo mijinga unakuta hata Waziri anaongea utumbo kwa reference za nchi nyingine!
 
Umesema ukweli kabisa.washauri wa mama mwambieni watz 99%tunataka ajiuzulu ili aje mzalendo atakaye shughulikia ufisadi ambao umekithiri haijawai tokea tangu uhuru
wewe ni zuzu utawala wa jpm watu hawakuiba?
 
Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda hovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni. Mashirika ya umma yametamalaki kwa ufisadi unaotisha.
Siku tukiwa na akili kama wakenya huu ujinga utakoma.

Saivi wanajua Sisi watu WA kulalamika afu basi
 
Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kujiona mna haki ya kuwatishia wenzenu?!
Ina maana tukiona

Hivi nyie jamaa mnajikutaga kina nani hadi kuwa na Mamlaka ya kuwatisha wenzenu pale wanapokosoa kwa manufaa ya nchi yao?!
Kama wewe unalamba asali, tunaomba ulambe kimya kimya pumbavu mkubwa sana wewe.
Watu tunahangaika na maslahi ya nchi halafu wewe uko kutisha tisha watu..
Kwa hiyo S.A ndo kipimo cha kuipimia nchi yetu?
Mbona awamu iliyopita umeme haukuwahi kukatika kwa kipindi chote cha miaka 5?!
Acha ujuha

You bastard, shit hole, huna adabu, adabu itakushika kama huna
 
Back
Top Bottom