Umetukana sana nchi hii, mimi narudi Tz wiki ijayo, hata huku Johannesburg, S. Afrika, yaani S. Africa umeme mgao ni mkali sana, tena angalia online Load shedding schedule, kila siku na ni miaka mingi ijayo S.A umeme utakuwa ni mgao kila siku for many years ahead..
S.A. ni nchi yenye uchumi mkubwa sana na inazidi nchi nyingi za Ulaya, ila umeme unakatika hadi mara 5 kwa siku, sasa hivi ni level 6.. Ingia google uone
Sasa ww unatukana nchi imeoza kweli? Kisa umeme kukatika kidogo tu sbb ya mvua, tumeoza kweli? mimi damu ya kijana CCM hadi roho na damu, unasema hivyo, kwanini lkn unaitusi nchi yetu nzuri kiasi hiki wewe? Unaweza dhibitisha tumeoza!?
Omba radhi haraka sana, JF utafungiwa maisha, serikali ipo aisee, ww ni pumbaf