mama yupo busy;
1. kuwaambia watu aliowateua wale kwa urefu wa kamba zao wasile sana wakaingiliana
2. Kuwaambia watu kama wanataka kushiriki mapenzi ya jinsia moja basi washiriki wakubwa kwa wakubwa tu
3. Kuwaambia wananchi kuwa hataacha kukopa, kazi ya kuwawajibisha wanaoiba mali za nchi hana muda huo
4. Anawaambia watu yeye anafoka kwa karamu, amesahau kuwa karamu anayotumia ni BUTU imeisha makali
5. Amesahau Siku hizi wananchi wake wakiona gari ya V8, wanajua kuna jambazi la fedha zetu linapita lipo ndani ya gari yetu.