Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

Kila kona mitaa imelipuka hasa ile ya Jf , Ila huko uraiani kumepoa sana. Huu ni moja Kati ya uchaguzi uliokosa amshaamsha, hauwezi kuufananinisha hata kidogo na ule wa 2015.

Raia mitaani hawana kabisa pressure, wao wanaosubiri tu siku ifike wakamrudishe rais wao madarakani.
 
Mitandao ya simu wameblock jina la Lissu
Ukiandika Lissu meseji haiendi
Haisaidii kitu ni dalili za kushindwa,walidhibiti vyombo vya habari sembuse taarifa kuhusu Lisu,ttzo Wana mawazo ya kijima miaka ya 70,wanaotawaliwa Wana akili kuliko wanaotawala.
 
Wakati wa Mungu sio wakati wa binadamu, wamekosa kibali cha Mungu wanatapatapa
 
...MAENDELEO YA WATU
Hivi kwa nini mnashindwa kung'amua tafsida za hawa jamaa!? Hivi mmejiuliza kwa nini Chadema hawafafanui vizuri maana ya maendeleo ya watu wanamaanisha nini!? Nyie karaga bao! Kwa nini hawataki kufafanua ni watu gani hao!? Wako strategic ili huko mbele msije mkapata nafasi ya kuwabana katika hili! Mnyime kura Lissu Tanzania izidi kuimarika na kuheshimika!
====
 
AKIPATA ATA DIWANI MUMOJA BASI ATAKUA AMESHINDA. MIMI NAONA ANAHARIBU MAFUTA YA CHOPA BURE TUUU.
Wewe utakuwa unaingiliwa kinyume aisee so bure.
Haijalishi wewe Ni me au ke.
Una tatizo aisee.
Maana kwenye wachawi haupo kwenye mashetani haupo.
Kwa Mungu we ndo hutakiwi kabisa.

Muongo muongo Kama kiongozi wenu.
 
Njaa miongoni mwa raia ndio imemuongezea Lissu umaarufu.

Kweli njaa haina baunsa.

... Anyway tusubiri baada ya 28/10/2020.
Rafiki wewe kura yako utampa Nani?
Au ndo kufuata ile kauli yetu pendwa ya "mchague mtu anaekulipa mshahara?"
 
Saa ya ukombozi inakaribia tusimame imara dhidi ya dhuluma za ccm na NEC yao.
 
SmartSelect_20201024-170018_Twitter.jpg
 
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...

Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....

Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Hata kwa lowassa Ililipuka Maana Wahuni Wapi Nchi nzima Ila Sisi kwenye Akili na Ufahamu Wa hali ya Juu ambao Ndio wapiga kura Tumetulia Tunajua cha kufanya hapo 28
 
Kila kona mitaa imelipuka hasa ile ya Jf , Ila huko uraiani kumepoa sana. Huu ni moja Kati ya uchaguzi uliokosa amshaamsha, hauwezi kuufananinisha hata kidogo na ule wa 2015.

Raia mitaani hawana kabisa pressure, wao wanaosubiri tu siku ifike wakamrudishe rais wao madarakani.
RAIA hali ngumu ya maisha wamepigika mtaani hawana uhakika Wa milo miwili kwa siku,wana hasira na Hii awamu inawatesa.wanachosubiri ni kuisulubisha ccm hyo tar 28 kimyakimya.awamu ya tano imetufundisha uoga ukionekana huku mtaani unashabikia upinzani,kama unakabiashara kako utazongwa na kila idara ya serikali mpaka ifilisiwe.so tunamkimbiza mwizi kimyakimya.
Ndo maana hakuna mbwembwe mitaani.
 
Na hizo kura za wizi zitawachanganya wenyewe hesabu ya kuzi balance itawatesa sana subiri tuone
 
Wala si nufaiki na chochote Mimi ni Nina mwamini Mungu, siwezi kuwa upande wa Mtu anaye tetea ushoga duniani. Na nina uhakika watu wanaomwamini Mungu wote wapo upande wa Magufuli, aliyehimiza maombi kipindi cha Covid19. Hivyo tegemea watu wote wanaokwenda kanisani na misikitini na wanamwamini Mungu wa kweli wote wapo upande wa Magufuli. Upo hapo.

Kwa kifupi ww ni mnafiki,Eti unamwamini Mungu unafiki tupu
 
Wewe utakuwa unaingiliwa kinyume aisee so bure.
Haijalishi wewe Ni me au ke.
Una tatizo aisee.
Maana kwenye wachawi haupo kwenye mashetani haupo.
Kwa Mungu we ndo hutakiwi kabisa.

Muongo muongo Kama kiongozi wenu.
WATANZANIA HATUTA CHAGUA KIONGOZI AMBAYE AMESHA ADHIBIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU. ENDELEENI NA MATUSI TUU, OCTOBER,28 MTAVUNA HAYO MATUSI.
 
Kazi kubwa ipi? Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kesi za uonevu unyanyasaji wafanyabiashara wakubwa kwa kutumia TRA? Kazi kubwa ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?

na bado, sasa akitoka magufuli anaingia ccm mwingine maaana miradi itakua imekamilika na watu watakua washaanza kula matunda ya miradi, 10 ya magu, alafu anakuja nae 10, jumlisha na umri wako saaahv, na huyu obvious lazima afanye kazi kwa bidii maaana bado watu watakua na spirit ya magu, kwahio tuseme another 40 years! labda waboronge wenyewe magu kashasafisha njia, sasa jumlisha na umri wako sasahv, hahaha nadhan unaelewa sasa tukisema ccm itakutawala milele
 
Magendo yapo CCM Ndungai kula bilion 12 peke yake akiwa India ni magendo kula 10% kwenye miradi ya kifisadi kuanzia ujenzi wa reli SGR bwawa la umeme flyover na miradi yote mikubwa ni magendo hayo kama ulikuwa hujui utawala huu kuna ufisadi kuliko Tawala zote zilizopita tokea Nchi ipate uhuru.hana pasipo na ufisadi kote kuna majanga na kibaya zaidi ni kuiba trilion 1,5 kisha wakamtoa CAG kafara huku ununuzi wa Ndege kwa cash ukibugikwa na ufisadi mkubwa kuliko zote Nchini

ngoja nksuaidie kueleza yote, mbowe alipiga bil 8, walimsaidia kushusha kesi baada ya mambo kumfika shingoni, wale wazee wa machame walishasema hawamtaki , jumlisha wabunge na madiwani mliopoteza mwaka huu, ccm kaondoka membe tu, cdm ulihesabu waliondoka + jumlisha waliofukuzwa bungeni, 😂 😂
 
Back
Top Bottom