Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mateso manyanyaso ya CCM sasa yaenda mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu na wenzao leo hii wapo wapi?
Manyanyaso yapo kwako tu jomba...wengine wananchi wazalendo wa nchi hii wanatanua kwa uongozi Bora na wakuwajali wananchi wa Aina zote mkubwa kwa mdogo...kazi zenu za madili mnazofanya hazina nafasi Tena..so Bora muende hata kulima
 
Jana sio leo,ujaona huo mziki.
Kama issue ni mziki, mziki wa Magufuli tu hamjaweza kuufikia hata kwa nusu,,Sasa mna Nini..mziki wa lowasaa hamjaweza kuufikia hata kwa nusu, Sasa Huo ni mziki au gitaa..au kile kigoma Cha chorus
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ndio maana amekata tiketi ya kurudi kwao baada ya Uchaguzi
Mambo rafiki

Naomba 28/10/2020

Tusifanye makosa ndugu yangu Tumpe kura za ndio Tundu Lisu maana anafaa sana kuiongoza inchi hii.

Yule mwenyekiti wetu muongo sana yaan alisema mwenyewe kamfukuza Gambo kwa matumizi mabaya ya ofisi nikamuona jembe sana lakini Jana kala matapishi yake kuwa hakumfukuza.

Nahisi Mambo mengi anayotuambia ni uongo tusiogope Tumpe kura za ndio Tundu Lisu.

Hii inchi ni yetu sote tufanye maamuzi sahii.
Screenshot_20201023-075118.jpg
Screenshot_20201023-075143.jpg
 
Ningeshangaa sana kama asingetokea hata kilaza mmoja wa lumumba na kusema neno,magufuli anafurahi sana kuwaongoza hayawani kama wewe
Nawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo
 
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema wakati wa kuwatoa Masheikh wa UAMSHO na wale wa Answari Suna Mdude Chadema Nyagali nae atachanganywa ili arudi kwenye Familia yake
 
Kila kona mitaa imelipuka hasa ile ya Jf , Ila huko uraiani kumepoa sana. Huu ni moja Kati ya uchaguzi uliokosa amshaamsha, hauwezi kuufananinisha hata kidogo na ule wa 2015.

Raia mitaani hawana kabisa pressure, wao wanaosubiri tu siku ifike wakamrudishe rais wao madarakani.
2015 watu walikuwa huru, hata hapa watu tunaandika kwa taadhali sana
 
RAIA hali ngumu ya maisha wamepigika mtaani hawana uhakika Wa milo miwili kwa siku,wana hasira na Hii awamu inawatesa.wanachosubiri ni kuisulubisha ccm hyo tar 28 kimyakimya.awamu ya tano imetufundisha uoga ukionekana huku mtaani unashabikia upinzani,kama unakabiashara kako utazongwa na kila idara ya serikali mpaka ifilisiwe.so tunamkimbiza mwizi kimyakimya.
Ndo maana hakuna mbwembwe mitaani.
Mmepoteza mvuto.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mataga wanaweweseka tuu na kile kibabu betri chao. Mwaka huu lazima kinyee debe kwa uharifu walio ufanya kama hata kimbilia kwao huko Burundi basi lazima tukipandishe Karandinga.
 
Mataga wanaweweseka tuu na kile kibabu betri chao. Mwaka huu lazima kinyee debe kwa uharifu walio ufanya kama hata kimbilia kwao huko Burundi basi lazima tukipandishe Karandinga.
Vipi kike chenu kinachotembea kama tipa inabinua mchanga?🙌
 
Kama issue ni mziki, mziki wa Magufuli tu hamjaweza kuufikia hata kwa nusu,,Sasa mna Nini..mziki wa lowasaa hamjaweza kuufikia hata kwa nusu, Sasa Huo ni mziki au gitaa..au kile kigoma Cha chorus
Why mnaomba usaidizi wa polisi,tume, mmewakimbia wapiga kura kusini
 
Zikiwa zimebaki siku 3 kabla hatujaingia tarehe 28.10.2020 siku ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu Tanzania, nadiriki kusema kuwa nchi naona inamtaka Lisu..... Nimezunguka Mikoa 25 ya Bara na 3 ya Zanzibar, nimepita kila pembe ya nchi. Nimezunguka vijijini sana na kila kona ya nchi hii kwa shughuli za kikazi katika NGO aiseeee sijui nini kitokee ila nimeshuhudia kwa macho yangu na kuona namna Lisu anavyokubalika sana sana...

Ambacho sikuamini ni mwamko walionao vijijini ni mkubwa kuliko hata wa majiji. Vijijini wanasema kwa hii njaa ya miaka 5 hawawezi tena kuipa serikali hii kura... Jana nilivyokuwa narudi Dar es Salaam, nilipita takriban mikoa 7 kutoka kanda ya ziwa nimeshuhudia namna Mawakala wa upinzani walivyojipanga na kupeana semina wenyewe kwa wenyewe.....

Bahati mbaya zikwenda kukusanya data za kisaisa ila kwa haya nilioyaona katika hiyo Mikoa 28 sioni namna Tundu Lisu akashindwa huu uchaguzi...... Watu wamechoka, watu wana njaa, watu hawana fedha, watu wamekosa matumaini..... Tena ukiwauliza maswali wanakujibu waziwazi kuwa kwa mbunge huyo sawa tutampa wa CCM ila suala la Urais Hapana tunampa "Mbeba Maono"....
Mungu ibariki Chadema
 
Soma andika vizuri..... Mikoa saba nimesema hiyo ni Jana on my way coming back to Dar.... From Kanda ya ziwa.. But nimezunguka mikoa yote 26 bara na 3 zanzibar kwa zaidi ya siku 81
Nimekusoma Mkuu, bado unaamini mikoa saba (7) kwa siku moja unaweza kutoa kauli ya kuaminika kwa mikoa au kwa "maeneo ya mikoa" uliyopita?! Tunaweza kusema ni fare sample na representation of all the seven regions ulizopita jana?! Nadhani tusilishane na kujilisha upepo!
 

Similar Discussions

68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom