Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,274
- 6,432
Eleza ni kipi kimefanyika ambacho ni katika mipango ya kuifanya ccm wakae? Kipi kilichobadilika katika yale mambo yenye kutumika na ccm kuendelea kubaki madarakani?Mwaka 2020 upo kivingine CCM lazima wakae
Kila mwaka upo kivingine ila kila mwaka wa uchaguzi ccm ndiye anayetangazwa mshindi,sasa mwaka huu kimefanyika nini kuzuia ccm asitangazwe mshindi?
Utaona hakuna kilichofanyika zaidi ya kujifariji na Lissu tu na kusahau 2015 kulikuwa na Ukawa kabisa ila haikufanikiwa.