Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,484
Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam.
Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu.
Na hii ni Dar, Jiji kubwa vipi huko mikoani?
Kuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye hotel kubwa sana hapa Dar, nilimuomba tukafyatuane, akanitolea nje kuwa ana mchumba kamaliza chuo anatafuta kazi na akipata wataanza kuishi pamoja na kufunga ndoa, aisee yule dada akapunguzwa kazi pamoja na watu wengine huku mchumba wake hajapata kazi mpaka leo, siku moja nikamkuta bar zetu hizi za kawaida za uswahilini, aisee alinichangamkia huyo huwezi amini kuwa alinitolea nje, nikaomba kwa mara nyingine tena, yaani nilichukua mzigo kiulaini kama nanawa vile, sasa uliza shughuli yake nilikuwa napiga mechi kama ugomvi, cha kushangaza kesho yake tena yupo kwenye meza mpaka leo hii ni mchepuko wangu
Ulichoandika sio kweli.Tunaposema hali imekuwa ngumu hatumaanishi huko nyuma ilikuwa nyepesi Bali ilikuwa ni afadhali maana ukipata elfu kumi ulikuwa unaweza kula hata siku 3 ila Leo ukiamka na sh elfu kumi ikifika SAA NNE asubuhi imekwisha.
Na pia kuipata tena ni kazi sana.
Wajinga mnasinginzia watu walikuwa wapiga dili
Hahaha hujachanganyikiwa wewe bado,.Binafsi nimechanganyikiwa na hii hali wakuu, sijui nifanyeje niedelee kubaki mjini. [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza hao wanaoziuza wanaenda kuishi wapi??Majumba yanauzwa kila uchwao
Najiuliza hao wanaoziuza wanaenda kuishi wapi??
Hahahah sisi tulisharudi zamani sana makwetu,.wanarudi mikoani hata mimi binafsi nipo njiani kuwaachia wenye dar yao maana mambo yamekuwa magumu zaidi...
Kwa ufupi biashara zangu zimekwama kabisa, kila siku afadhali ya jana yake..
By next month in mid nitakuwa njiani kurudi kwetu usukumani...
Hahahah sisi tulisharudi zamani sana makwetu,.
no commentHii ni dalili ya watu waliokuwa wamedeka katika mfumo wa utawala wa kifisadi... kama ulikuwa unanyongewa kila siku sasa unaambiwa chinja... hujui kisu kinashikwa vipi.. Jiji la Dar lina matatizo yake na hayaishi leo.. mojawapo ni kuwa watu wake wamezoea uchafu kiasi kwamba kuishi bila uchafu kunaonekana ni kama kuwa "mzungu" au kuwa majuu!
Rudi tuu mkuu,.bora kufia nyumbani kuliko ugenini,.Ilifanya la maana maana kodi zimekuwa kero.
Hadi inafikia hatua unasema unaifanyia kazi serikali au familia yangu??
Ngoja niende zangu mkoani mpaka siku huyu bwana aking'atuka madarakani maana anafanya maisha kuwa magumu kila kuchwao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UgonileMiaka mitano iliyo pita huku Mbeya ulikuwa ukinunua chips za buku mpaka muuzaji anakuuliza mpo wangapi? Maana alikuwa Ana uhakika huta maliza. Ukisema upo mwenyewe atakushauri uchukue za jero. Lakini sasa hivi chips za buku unaweza ukamkunja muuzaji ukadhani amekutapeli hela yako kwa kukupa vipunje kidogo vya viazi[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaouza na kurudi vijijini, wengine wanauza na kwenda kupangaNajiuliza hao wanaoziuza wanaenda kuishi wapi??
So ndio hapo jamanii,.tuwe wakweli tuu,. sisi mama nt'ilie asubuhi tunakopa kwa mangi ukiuza sahani 2,3(bila kukopwa)unamrudisha jioni hela yake,.mtindo ndio huo,..sasa siku ndio mangi asifungue jomoniii woiiii😂😂😂😂Ni kweli hali ni mbaya sana mitaani ila kuna watu wanajitoa ufahamu hapa eti ni kwa waliozoea vya bure. Hivi mtu kama fundi ujenzi, atatoa wapi hela kama hapati wateja?
Rudi tuu mkuu,.bora kufia nyumbani kuliko ugenini,.
Jamanii uuze house na kwenda kupanga??chaaa!!! Magufuli must go" akyananiWapo wanaouza na kurudi vijijini, wengine wanauza na kwenda kupanga
Heri yako wewe mwenzangu una hata Mangi wa kumkopa mimi mwenzio nilishaua mtaji wa banda langu na sina hata wa kumuuzia majiko na vikorokoro vingineSo ndio hapo jamanii,.tuwe wakweli tuu,. sisi mama nt'ilie asubuhi tunakopa kwa mangi ukiuza sahani 2,3(bila kukopwa)unamrudisha jioni hela yake,.mtindo ndio huo,..sasa siku ndio mangi asifungue jomoniii woiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So ndio hapo jamanii,.tuwe wakweli tuu,. sisi mama nt'ilie asubuhi tunakopa kwa mangi ukiuza sahani 2,3(bila kukopwa)unamrudisha jioni hela yake,.mtindo ndio huo,..sasa siku ndio mangi asifungue jomoniii woiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayajakufika shingoni mwanakwetu, omba Mungu yasikukuteJamanii uuze house na kwenda kupanga??chaaa!!! Magufuli must go" akyanani
Mangi karudi kwao kibosho,.yaani nahaha kama mwendawazimu...namm ntaleta bandiko nauza jiko 😂😂soonHeri yako wewe mwenzangu una hata Mangi wa kumkopa mimi mwenzio nilishaua mtaji wa banda langu na sina hata wa kumuuzia majiko na vikorokoro vingine