mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Kama kweli, kabla ya Serikali inayoongozwa na Magufuli, watu walitajirika, utajiri ungeonekana kila mahali. Lakini kila kona ya nchi vijijini umaskini ulinuka huku mijini tukishuhudia majumba ya fahari, maduka makubwa yenye bidhaa za nje, na utitiri wa machinga wakitembeza bidhaa za nje.Awamu hii mtu hafanyi biashara ili apate faida
Anafanya biashara ili alinde mtaji wake tu
Kila kukicha ni bora ya jana,ndio kwanza ni miaka mi3 tu,bado miaka 7 inatusubiri.
Safari hii nikunyooshwa hadi ukiitwa unaitikia “Abeee!!!”![]()
Isitoshe huduma za jamii ziliendelea kudorora kiasi cha kufanya ongezeko la rushwa ili mwananchi aweze kuzipata.
Ndiyo nchi tunayotaka iendelee kuwa?
Sent using Jamii Forums mobile app



♂️