Duh...!!Kama Redio ya taifa Tbc inachezesha kamari mimi ni nani nisicheze
Ajira zipo sana mbona, sema uvuvi wa watu, na kutaka vitu vya rahisi,,Mishe zime stuck
Ajira zimeshindwa tengenezwa
Kilichobaki kamali na kuingia kukata mauno bongo fleva
Ova
Hata television ya umma inachezesha kamari.
Wacha wajinga waliwe pesa. Unaumia nn?
Inasikitisha!!!
Kila mtu anataka apate pesa just kuandika namba ya kampuni sijui herufi fulani,kinashangaza zaidi ni karibia radio zote wanafanya hivi nadhani baada ya kuona wasikilizaji wamepungua na matangazo mengi ya biashara yamehamia mitandaoni wakaona wapige kupitia huko ila ukweli ni wanavunja uti wa mgongo wa taifa kwa kupenyeza akili za uvivu kwa vijana
TBC Ukweli na Uhakika unaambiwa droo zao zinatema balaa![]()
Mpumbavu mmoja unaongea...
Kijana ajira unategemea wapi Ale.
Nikiamua kuishi maisha yangu unanifuatilia...
Hela ya kubet unanipa.
Acha tuishi maisha tuliyoamua kuishi
Ajira zipo sana mbona, sema uvuvi wa watu, na kutaka vitu vya rahisi,,
Bodaboda inaajili watu milioni 10,
Wapiga debe, conductors, tingo, dreva milioni 2,
Wabeba mizigo milion1.
Machinga milion 10
Mama ntilie milion 1
Fundi selemala laki 2
Fundi welding laki 2
Makanika elfu 50
Fundi uashi elfu 50
Fundi bomba elfu 10
Fundi rangi elfu 5
Fundi viatu elfu 10
Fundi cherehani elfu 50
Fundi tiles, elfu 10
Wachimba mchanga.
Wapasua kokoto.
Wachimba zahabu.
Barmaid.
Mpesa,,
Wakulima milioni 30
Safi sana mkuu na mimi naamini ipo siku nitatusua pesa ndefu kupitia betingMchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake!
Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu.
Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
Kati ya hizi ajira ulizozitaja hapo juu wewe huwa unafanya ipi?Ajira zipo sana mbona, sema uvuvi wa watu, na kutaka vitu vya rahisi,,
Bodaboda inaajili watu milioni 10,
Wapiga debe, conductors, tingo, dreva milioni 2,
Wabeba mizigo milion1.
Machinga milion 10
Mama ntilie milion 1
Fundi selemala laki 2
Fundi welding laki 2
Makanika elfu 50
Fundi uashi elfu 50
Fundi bomba elfu 10
Fundi rangi elfu 5
Fundi viatu elfu 10
Fundi cherehani elfu 50
Fundi tiles, elfu 10
Wachimba mchanga.
Wapasua kokoto.
Wachimba zahabu.
Barmaid.
Mpesa,,
Wakulima milioni 30
Mimi kolokoloni boss,, nilisahau kuweka category ya uwatchman😂😂,Kati ya hizi ajira ulizozitaja hapo juu wewe huwa unafanya ipi?
Hesabu hazina uhalisia kabisaAjira zipo sana mbona, sema uvuvi wa watu, na kutaka vitu vya rahisi,,
Bodaboda inaajili watu milioni 10,
Wapiga debe, conductors, tingo, dreva milioni 2,
Wabeba mizigo milion1.
Machinga milion 10
Mama ntilie milion 1
Fundi selemala laki 2
Fundi welding laki 2
Makanika elfu 50
Fundi uashi elfu 50
Fundi bomba elfu 10
Fundi rangi elfu 5
Fundi viatu elfu 10
Fundi cherehani elfu 50
Fundi tiles, elfu 10
Wachimba mchanga.
Wapasua kokoto.
Wachimba zahabu.
Barmaid.
Mpesa,,
Wakulima milioni 30
Nimeweka kama mfano, kama utagundua nineweka private sector tu,,,Hesabu hazina uhalisia kabisa