Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
Ndio ubunifu wa CCM na phd zao ulipofikia hapo.
 
Mimi uwa sibet kabisa ila wanaobeti uwa siwalaumu kabisa. Why serikari yenyewe hii yakwetu magumashi Mengi sana mpaka vijana wanakua frastated bora wabet ila wasiibe tu.
 
Sio wacheza kamari tu bali walipa kodi wazuri mnooo
 
Tatizo kubwa Ni ushoga si kamari,watu hawana marinda!acha niweke nikeka yangu
 
Nimeweka kama mfano, kama utagundua nineweka private sector tu,,,
Mfano kazi ya kupasua kokoto, haiitaji mtaji zaidi ya nyundo na nguvu zako, hii inaweza kuajili watu milion 10,, kinachotakiwa ni utashi wa watu,
Kazi ya kufyatua tofali za udongo na kuchoma,, mtaji ni jembe, koleo na pumba za mpunga, tu, unafyatua, unapanga tanuru, unachoma, unauza tofali,, haina mtaji mkubwa, inataka utashi tu,, hii nchi nzima inaweza kuajiri watu, milioni 5,
Kukusanya chupa za plastics, ni kazi nzuri,, lakini inataka utashi wako tu, na inalipa,
Dreva wa bodaboda,, hii inataka uaminifu tu na kujua kuendesha boda boda,
Ukuli,, hii inataka nguvu tu, hawa makuli kwa siku wanaingiza hadi 50,000,,
Kazi ni nyingi mno
Kokoto kuna jaw crusher ina uwezo wa tani 500 kwa saa

Nenda Msata machimboni jionee
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
SERIKALI IMEBARIKI KWA KUWA INAPATA KODI MIMI NASEMA WAJINGA NA WAPUMBAVU WAACHA WAIBIWE TU KWANI KUCHEZA NI HIARI
 
Nashukuru kutoka kwenye uraibu huo mwaka 2014

Nilihitimu kidato fulani na kutoendelea na shule kutokana na sababu za kiuchumi za kifamilia, kuandamwa na mawazo kwa nn? Wazee wakose pesa ya kuniendeleza na shulee, anyway mtaa ulinihusu 2010-2014 miaka 4 kwenye Kamari.

Kupata yaani kushinda mkeka ni kudogo sana kulinganisha na kuliwa hakuna kamari niliyokuwa siijui kwenye zile list zao za michezo yao spin,less za mbwa, dubwi, mpira na mingine mengi hapo nilikuwa nashindia suruali moja kwa sababu ya uraibu wa kamali kilichoniokoa ilikuwa mtu wa ibada ntashinda kwenye kamari ila kuna mda ntajiiba ntaenda kufanya ibada hata Kwa nyakati moja , ukienda sehemu ya ibada unakutana na nondo kuhusiana na kamali kuwa ni haramu na ni dhambi na kwa muongozo wa dini hamtakiwi mcheze ni kuacha tu, basi najiuliza ntaachaje! Basi mashindano baina ya mm nafasi yangu kujitahidi-kuacha nikawa napambana kuacha... ila nilifanikiwagwa baada ya kupata safari yaani kusafiri

Wazee wakilalamika sana niende gereji au nitafute kibarua chochote lakini wapi? Waligonga mwamba..

Nilipata safari ya kwenda kutembea Arusha kwa swahiba wangu mmoja hivi, niliaga nyumbani na walinikubalia na kutokana na kumfahamu rafiki yangu huyo huko tulifungua kabiashara na kukisimamia mimi na yeye ndio ulikuwa mwanzo wa kuacha kamari, huko niliishi mwaka mzima na kurudi home nilibadilika mpaka tabia wazee walifurahi sanaa nilikuwa kijana mpya kabsa ndio mpaka leo sitaki hata kuisikia hiyo betting -kamari

Nashukuru M/Mungu wangu,
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
Kibao kitageuka na haya mambo yatakwisha, ni suala la muda mfupi tu. Kwa sababu ya changamoto ya mzunguko wa fedha kuwa chini hii imeonekana kama suluhisho pia kunusuru mdororo wa vyombo vya habari vinavyokosa wasikilizaji kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia na kidijitali.
 
Naunga mkono hoja, vinginevyo hii michezo ya kamari iwe regulated ipasavyo.........huku kwenye mitandao ya simu unachezeshwa kamari kwa lazima na unakatwa salio automatically kila unapoingiza vocha, na TCRA wapo na mamalaka ya michezo ya kubahatisha wapo, labda wamelambishwa asali na hawa majizi.​
 
Kila mwerevu anapotengeneza system yake ya kupiga hela hakosi wapumbavu ona kina mwamposa wanavyotembea vifua mbele hivyo na wanaogundua hiyo michezo wacha wale kwa urefu wa kamba zao buni chochote kinachoweza kukuingizia hela as long as huvunji sheria maana unaweza teseka.Buni kitu na tambua walaji wa huo Ubunifu wako ni akina nani japo walaji wa baadhi ya bunifu fulani tunawaita wapumbavu
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
Kwakutumia ujiniasi wangu ....binafsi siwezi kupinga kamari ila Serikali inatakiwa ianzishe beti yake madhubuti na kupiga marufuku watu binafsi kushezesha kamari maana tunaua dhamani ya pesa yetu bure wachezesha kamari wa kigeni wana somba faida kwa pesa za kigeni ....na kuzipeleka nje ya nchi
 
Kama wanaocheza ni watu wazima na wanacheza kwa maamuzi yao sioni shida yoyote.Tusigeuze taifa kama la watoto wadogo wakupangiwa na kuamuliwa kila litu ata ambavyo wananchi wanapaswa kutumia akili za kawaida kujua hichi ndio na hichi hapana.
 
Wacheza kamari tunalipa Kodi ,wewe unalipa nini

Hakuna ambae halipi kodi,huo n ulevi mbaya kwwny maisha yako utafanya udumbukie kweny uraibu na kuyahari maisha yko,hakuna nchi imeendelea kwa watu wake kucheza kamari
 
SERIKALI IMEBARIKI KWA KUWA INAPATA KODI MIMI NASEMA WAJINGA NA WAPUMBAVU WAACHA WAIBIWE TU KWANI KUCHEZA NI HIARI

Tatzo n uraibu wake ambao umekua ukisambaa kwa vijana wengi na hivyo kuvunja uwezo wa kibunifu wa kuiwezesha nchi kusonga mbele zaidi kimaendeleo
 
Back
Top Bottom