Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Pejokiss

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
227
Reaction score
117
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
 
Kama Redio ya taifa Tbc inachezesha kamari mimi ni nani nisicheze

Mchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake!

Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu.

Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
 
Mchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake! Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu. Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
Hii chai sinywi jioni ntakunywa asubuhi
 
Daah hii imekaa kama motivation speaker 😁😁😁
 
Lakini jua hayo makampuni yanaingiza faida maradufu kupitia hili na hatari n kwako kwa kua utaangukia kweny ulevi wa mchezo huo na baadae utayataabisha maisha yako!
 
Ajira zenyewe ngumu. Kipindi cha Jakaya mtu akisomea ualimu na afya ni moja kwa moja kwenye ajira ila alipoingia Magufuli akafuta ajira.
Acha wacheze
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu,nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa,vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni,kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi,hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu,naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.Nawasilisha
Hata television ya umma inachezesha kamari.
 
Wacha wajinga waliwe pesa. Unaumia nn?
 
Ubunifu na Maarifa ya kizazi kijacho kweli yanazidi kufa lakini 20% ya watz , Hata nchi zilizoendelea kamari ni sehemu ya Maisha ya watu , uzuri kamali ni option

Hata Mimi naicheza kama hizi sportbetting nakula Hela na kusomesha watoto na familia inakula

Dunia hii Ina Mungu ndio anayeiongoza equal balance
 
Nakumbuka lecture mmoja wa Cbe alishawahi sema anatamani serikali waanzishe mtaala mpya wa somo la kubeti liwepo vyuoni,alisema dunia ndio inavyokwenda uko nasie tusiwe nyuma
 
Inasikitisha!!!

Kila mtu anataka apate pesa just kuandika namba ya kampuni sijui herufi fulani,kinashangaza zaidi ni karibia radio zote wanafanya hivi nadhani baada ya kuona wasikilizaji wamepungua na matangazo mengi ya biashara yamehamia mitandaoni wakaona wapige kupitia huko ila ukweli ni wanavunja uti wa mgongo wa taifa kwa kupenyeza akili za uvivu kwa vijana
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
TBC Ukweli na Uhakika unaambiwa droo zao zinatema balaa
 
Mfikirie anayekaa kwenye jengo kule Dodoma, masaa sita mpaka saba au hata nusu siku.
Ana saini 300,000 per day na kuna muda wanakaa zaidi ya mwezi.
Wako zaidi ya 300.
Hizo buku buku ndio zinakatwa Kodi.
Njoo huku kwa wafanyakazi jinsi wanavyonyoka kikodi na Michango ya kichawi chawi ya vyama.

Hao ni zaidi ya Kamari.

Wanaenda mbali zaidi wanabetia hela za walipakodi kwa kununua magari ya zaidi ya million 200.
ILi yatumike kututembelea sisi tuliowabetia kuwa watatusaidia tukiwachagua.
 
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.

Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.

Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.

Nawasilisha
Dalili ya umasikini kwenye nchi
 
Mpumbavu mmoja unaongea...

Kijana ajira unategemea wapi Ale.

Nikiamua kuishi maisha yangu unanifuatilia...

Hela ya kubet unanipa.

Acha tuishi maisha tuliyoamua kuishi
 
Back
Top Bottom