tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,532
- 1,484
sidhani, gwajima ?Hii haimuhusu Gwajima
sidhani, gwajima ?Hii haimuhusu Gwajima
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Umenikumbusha jambo lililochekesha watu haswaa yani yule mwanadada alikuwa kituko pale mbele yani jinsi alivyovaa ule ushungi kichwani ilikuwa ni kichekesho na alionekana wazi kufanya maigizo.., pengine hakuwahi kabisa kuvaa na ilikuwa ndo mara yake ya kwanza
hata kanisani nilishaacha maana ni unafki unafki tu,nimeamua kumuomba mungu kivyangu.
Kama viongozi wa DINI waliliacha suala la Zanzibar likapita vile, basi viongozi wa dini Tanzania hawajui wakifanyacho..!
Ukiona wako kimya ujue washafunuliwa hamna shida kubwa; ni gozi gozi ndogo ndogo tu ambazo kwenye maisha hazikosekaniNchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Fr Mapunda hujaona uzi wake humu?Mbona kashafyatuka zamani sana akimsema mkulu?Yaani yule Fr kanisa la pale Manzese analitumia vizuri sana.YUKO WAPI FR BAPTIST MAPUNDA MISSIONARY OF AFRICA. ALIIANDIKA MAKALA KALI JUU YA UTAWALA WA KIKWETE NA KUKOSOA! LEO WAKO WAPI?
JAmani haya sasa ni maajabu kabisa kuchanganya mabombo,Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Sio viongozi wadini wapo viongozi wa siasa wanamtukana mtu miaka yote kuwa ni fisadi alafu amefukuzwa kutokana na kashfa hizo za ufisadi alafu wao waliokua wana mkashfu na kumtukana leo wana mlamba miguu.Leo ndio viongozi wa dini waonekane wanafiki. Kweli ishi Tanzania ujionee vituko?Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.