Nchi hii tuna viongozi wa dini wanafiki sana

Halafu kuna binti aliyekuwa akimlinda mheshimiwa. Hivi hakuna mlinzi mwingine wa kiume aliyepaswa kuweko pale mbele? Hivi hakuona sehemu waliyokaa wanawake wenzake?
Umenikumbusha jambo lililochekesha watu haswaa yani yule mwanadada alikuwa kituko pale mbele yani jinsi alivyovaa ule ushungi kichwani ilikuwa ni kichekesho na alionekana wazi kufanya maigizo.., pengine hakuwahi kabisa kuvaa na ilikuwa ndo mara yake ya kwanza
 
Hahaaa!ukawa wamebanwa pumzi,wamechanganyikiwa,sasa wanatukana viongozi wa dini,wanasahau kuwa ndio walikuwa wanawatumia kupigia kampeni makanisani
 
Hamna viongozi wa dini wala wazee wenye hekima katika nchi hii watakao wasaidia tena ili zoezi la kubadili gia angani liwe rahisi. Au mnataka kutuaminisha kubadili gia angani mliwashirikisha hawa viongozi wa dini na wazee.

Wanafiki ni wale waliopiga kelele miaka zaidi ya saba kuhusu ufisadi wakaishia kulamba viatu vya waliye mkashifu. Hili ni kosa kubwa mbalo mtalilipia mpende msipende.
 
duh..!! hapa kasheshe,povu watu lawatoka mhhhh... siyawezi
 
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Watz kuandika bado sana sasa hapa ulikuwa unataka kutueleza nn maana hata kisa kinachokufanya uandike hivi hujakisema
 
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Wanamwogopa mkuu sana na polisi bwana...after all kiongozi wetu ni chaguo la Mungu.
 
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Tatizo ni kwamba viongozi wa dini hawaishi katika maandiko wanayo ya hubiri, uovu wao unajulikana kwa watawala kwa hiyo hawawezi kuwarushia mawe wakati wao wapo katika nyumba za vioo
 
Umenikumbusha jambo lililochekesha watu haswaa yani yule mwanadada alikuwa kituko pale mbele yani jinsi alivyovaa ule ushungi kichwani ilikuwa ni kichekesho na alionekana wazi kufanya maigizo.., pengine hakuwahi kabisa kuvaa na ilikuwa ndo mara yake ya kwanza
Inasikitisha sana kufanya maigizo kama yale sehemu kama ile
 
Wakati wa kikwete walimkosoa sana, ila Sasa tumefunga midomo. CHEZEA MABURUNGUTU YA FEDHA WEWE???

Pesa ilimdalalia Yesu na mtume sembuse kwa hawa wanaadamu wenye imani haba .

Niunafiki sana kumsifia Mtu ambaye mioyoni mwenu nafsi zinawashtaki kuwa hakushinda kihalali.
 
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.

wakati wale walutheran na baadhi ya mashekh wakipokea maburugutu wew uliona sawa leo ndo unaona viongozi wa dini ni wanafiki kwa nin sio kipindi kile
 
na hayo maburunutu ya pesa yasipoleta utata baadae cjui.......................
 
Masikini Tanzania , penye haki amani itakuwepo ukihubiri amani Na watu wanadai haki hakika utakuwa ni wimbo tu
 
Sheikh Alhad Mussa-Mnafiki nambari moja
 
Historia inaonyesha toka kuumbwa kwa dunia hii haijapata tokea viongozi wa serikali na wa dini wakaelewana kwani asili ya serikali zote duniani nia dhuluma na dini ni kuondoa kila aina ya dhulma kama viongoz wa dini na serikali wapo pamoja basi ujue huo ni muungano wa dhulma kwa wananchi
 
wakati wale walutheran na baadhi ya mashekh wakipokea maburugutu wew uliona sawa leo ndo unaona viongozi wa dini ni wanafiki kwa
nin sio kipindi kile

Kama kipindikile Lowassa alishambuliwa sana na kuonekana fisadi kwa kutoa maburungutu kanisani na misikitini .
Kwanini kama ilikuwa sio halali kwanini leo Magufuli anafuata nyayo za fisadi.
Huu ni unafiki na huku ni kuishiwa mbinu za kisiasa ndio maana Lowassa alisema magufuli hana vission .
Ndio huku sasa kucopy na kupaste.
 
Gwajima ndio wa ukweli, hao wrote wanaogpa polisi
 
Zama zile kama kiongozi wa dini anaona mfalme amekosea walikuwa wanamwambia kwa upole bila jazba na kumpa ukweli.
Iwapo mfalme atakasirika na kumwambia kiongozi wa dini kwanini unanikosoa na kumuuwa anakuwa amefikisha ujumbe wa haki, na kama atausikiliza well and good.

Kuna viongozi wa dini wanafiki kiasi wanamuogopa hata tajiri na kumfurahia kinafiki hata kama kamdhulumu mnyonge Mali yake.

Siku ya kiama watajibu walichovuna
 
Hasa wa bakwata ndio bure kabisa, kazi yao kuselfika na viingozi wa siri Kali hasa yule shena wa mkoa wa makonda, ndio empty vessel
 
Back
Top Bottom