jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Huu utaratibu wa kutembea na MABURUNGUTU YA FEDHA ndio unakoleza unafiki.Wakati wa kikwete walimkosoa sana, ila Sasa tumefunga midomo. CHEZEA MABURUNGUTU YA FEDHA WEWE???
Huu utaratibu wa kutembea na MABURUNGUTU YA FEDHA ndio unakoleza unafiki.Wakati wa kikwete walimkosoa sana, ila Sasa tumefunga midomo. CHEZEA MABURUNGUTU YA FEDHA WEWE???
Yule naye ni wakujipendekeza sana sirikalini. Unafki.Hasa wa bakwata ndio bure kabisa, kazi yao kuselfika na viingozi wa siri Kali hasa yule shena wa mkoa wa makonda, ndio empty vessel
Kama kipindikile Lowassa alishambuliwa sana na kuonekana fisadi kwa kutoa maburungutu kanisani na misikitini .
Kwanini kama ilikuwa sio halali kwanini leo Magufuli anafuata nyayo za fisadi.
Huu ni unafiki na huku ni kuishiwa mbinu za kisiasa ndio maana Lowassa alisema magufuli hana vission .
Ndio huku sasa kucopy na kupaste.
Hujaelewa nini?Watz kuandika bado sana sasa hapa ulikuwa unataka kutueleza nn maana hata kisa kinachokufanya uandike hivi hujakisema
uko sahihi bro kwenye mahubiri yao husema mambo mepesi sana yasiyo natija. kama pombe na shisha, lakini mwaswala nyeti kama kutoa haki,demokrasia, rushwa na ufisadi hutawasikiaNchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Siyo viongozi wa dini tu Mkuu, je? Nchi hii haina wazee wenye hekima na busara?. Wako wapi sasa! Kwa kinachoendelea ktk nchi yetu kwa sasa kinafaa kikemewe na mzalendo yeyote. Bila kujali chama, dini wala kabila lakeNchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
safi sana mkuuNchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Hao ni wachumia tumbo, siwataki katu, wahuni kama wasanii,Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Tuyatukane yote mazee hayo. hayafai kabisa yanapeleka fedha mahali kusikohusika badala ya kuzirejesha hazina,Wanafki sana hawa watu,lakini wazee wengi wa nchi hii ni wanafki wa kutupwa,wanatumika uzeeni sijui ili wapate nini,minafki mikubwa
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Wakatoliki ndio wanafiki mwanzo mwishomimi mkatoliki lakini PENGO ameniangusha eti SERIKALI MBILI
njaa zaoWakatoliki ndio wanafiki mwanzo mwisho
wao sio mimi na yesuWakatoliki ndio wanafiki mwanzo mwisho
AAhh!!! yule father Kalugendo hamna kitu hapo ni kama ulikuwa kwenye akiri yangu,daaah! ila TZ noma sana unakuta mchungaji hovyo,askofu hovyo kabisa ,shekh sijui nini wote hawa ni wanasiasa,kuna siku serikali itasema suala la ushoga ruksa utasikia hawa nao wanaunga mkono,ndiyo maana wakati mwingine ukiona mambo haya ugaidi ni mambo kama haya , damn shame.Nlikuwa msomaji sana wa makala za Fr. Kalugendo ila sasa bhaaaasi