Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.