Nchi hii tuna viongozi wa dini wanafiki sana

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.

Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
 
Maneno kuntu sana! Unafiki unalitafuna Taifa hili.
 
shikamoo, umeeleza ukweli bila kumung'unya maneno, kwa mara nyengine tena shikamoo Molembe
 
Hata mm nmeshangaa saana mkuu,,,hasa siku ile ya idd nilivomsikiliza yule mzee aliyekuwa anasoma RISALA,,unafiki mtupu
Halafu kuna binti aliyekuwa akimlinda mheshimiwa. Hivi hakuna mlinzi mwingine wa kiume aliyepaswa kuweko pale mbele? Hivi hakuona sehemu waliyokaa wanawake wenzake?
 
Wamewambukiza adi vijana maana sipati picha nikiwaza jinsi pole pole alivyo tuaminisha ukuu wa wilaya ni mzigo kwa serekali lakini leo hii yeye ndie mkuu wa wilaya !!! Wanafiki ni watu hatari sana!!!!
 
Wanafki sana hawa watu,lakini wazee wengi wa nchi hii ni wanafki wa kutupwa,wanatumika uzeeni sijui ili wapate nini,minafki mikubwa
 
Nchi hii viongozi wa dini wamezidi unafiki, pamoja na kuhubiri neno la Mungu wanapaswa kukemea maovu hasa pale viongozi wanapokiuka misingi ya nchi kwa kuvunja katiba na sheria za nchi wanapaswa kukemewa, viongozi wa dini wanaona jinsi viongozi wa vyama vya siasa wanavyogandamizwa na serikali wao wapo kimya, siku yakitokea machafuko wao huwa wa kwanza kukimbilia kuliombea amani taifa, huu ni unafiki, hao mnaowafuata yaani Yesu na mtume Muhammad hawakuwa waoga kiasi hicho walikemea serikali zao bila unafiki wowote hali iliyopelekea hata kuingia matatizoni.
Ni unafiki kuombea taifa amani ili hali misingi ya amani inapovunjwa wapo kimya.
Asante sana ndugu yangu kwa kuliona hili!!!!!!!
 
Back
Top Bottom