Viongozi wetu wa dini igeni ujasiri wa nabii Daniel kwa Nebukneza na Joshua kwa wafalme wa Jericho. Acheni uchawa wakati hali ya nchi ni mbaya

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,469
3,540
Tangu enzi za kale ufalme ambao Leo ni urais kwa tafsiri yetu ya kiswahili mangimeza ulikuwa ukipokea maonyo pale unapokiuka ama kukengeuka kwa namna yoyote ile, watu pekee waliokuwa na sauti kubwa ni watumishi wa mungu makuhani na manabii.

Mfano ni nabii Elia kwa mfalme Ahabu aliyekuwa mfalme au rais wa Shamu katika siku zile ! Alipokengeuka tu Elia alimkabili vilivyo hata akazuia mvua kwa miaka mitatu Hadi jeuri ya mfalme ilipokoma!

Wa pili ni Daniel kwa Belshazzar na babaake Nebukneza alipokengeuka nabii Daniel alimkabili vilivyo hata akageuka na kuwa ng'ombe.

Wa tatu ni Joshua mwana wa Nuni alipoingia kwenye mji wa ai alimuua kabisa mfalme wa ai ;

Mfano wa mwisho ni YESU mwenyewe alipomuita Herode mbweha

Viongozi wetu wa dini ni waoga kupita uoga wenyewe! Hata nguvu ya mungu wanaemuhubili inanishangaza !!

Katika Hali hii watu wanatekwa na kupotezwa mmekaa kimya na kuziba masikio kwakweli Mungu awape adhabu inayostahili !!

Nyinyi mlipaswa kusimama kwa umoja wenu kwa sababu hata hao watekaji huenda ni waumini wenu, na wanaotekwa pia ni waumini wenu mnapokaa kimya mnaogopa nini?

Kuna haja gani ya kuzikimbilia karamu za mfalme na Hali misingi ya nchi ya umoja na amani yetu inavunjwa ?
 
Huo ujasiri unaotaka wawe nao hawawezi kuwa nao mpaka watakapobadilika kutoka kuwa "Viongozi wa dini" na kuwa "Viongozi wa Kiroho"
 
Tangu enzi za kale ufalme ambao Leo ni urais kwa tafsiri yetu ya kiswahili mangimeza ulikuwa ukipokea maonyo pale unapokiuka ama kukengeuka kwa namna yoyote ile, watu pekee waliokuwa na sauti kubwa ni watumishi wa mungu makuhani na manabii.

Mfano ni nabii Elia kwa mfalme Ahabu aliyekuwa mfalme au rais wa Shamu katika siku zile ! Alipokengeuka tu Elia alimkabili vilivyo hata akazuia mvua kwa miaka mitatu Hadi jeuri ya mfalme ilipokoma!

Wa pili ni Daniel kwa Belshazzar na babaake Nebukneza alipokengeuka nabii Daniel alimkabili vilivyo hata akageuka na kuwa ng'ombe.

Wa tatu ni Joshua mwana wa Nuni alipoingia kwenye mji wa ai alimuua kabisa mfalme wa ai ;

Mfano wa mwisho ni YESU mwenyewe alipomuita Herode mbweha

Viongozi wetu wa dini ni waoga kupita uoga wenyewe! Hata nguvu ya mungu wanaemuhubili inanishangaza !!

Katika Hali hii watu wanatekwa na kupotezwa mmekaa kimya na kuziba masikio kwakweli Mungu awape adhabu inayostahili !!

Nyinyi mlipaswa kusimama kwa umoja wenu kwa sababu hata hao watekaji huenda ni waumini wenu, na wanaotekwa pia ni waumini wenu mnapokaa kimya mnaogopa nini?

Kuna haja gani ya kuzikimbilia karamu za mfalme na Hali misingi ya nchi ya umoja na amani yetu inavunjwa ?
Kuna haja gani ya kuzikimbilia karamu za mfalme na Hali misingi ya nchi ya umoja na amani yetu inavunjwa ?📌🔨💪🏿
 
Hasa wale wa bakwata ndio wanafiki kupindukia,ila wale tgzo lao kuu ni njaa ni ujinga wanatumika na kijani zaidi ya toilet pepa.
 
Mtu akishajiita nabii tu ni Tapeli usiendelee kumsikiliza unabii na utume ulikoma kwa Mohammad Rasool Allah
 
Wameiacha misingi ya Imani. wamekimbilia kuwa machawa wa serikali

Afadhali kidogo yule wa karagwe Jina nimemsahau
 
Back
Top Bottom