Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
588
Reaction score
904
Wasalaam

Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya

Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu Mchamungu na padre

Shule nyingi kumbe pia zilikuwa za kanisa...bado huduma za afya maeneo mengi mikoani huko ni mengi kusema bila kanisa sijui kama nchi tungekuwa wapi
 
Aisee tungekuwa nyuma sana hata Nyerere tusinge mfahamu hahah
Akin membe, akina Kasim wote wamesomea humo. Nitajie prof mmoja mbaye hakusomea shule za catholiki nami nikutajie maprof 200
 
Wasalaam

Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya

Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu Mchamungu na padre

Shule nyingi kumbe pia zilikuwa za kanisa...bado huduma za afya maeneo mengi mikoani huko ni mengi kusema bila kanisa sijui kama nchi tungekuwa wapi
Mzee Mohamed Said kijana anastahili elimu kutoka kwako.
 
Kama hilo kanisa linatoa hizo huduma bure sawa ila kama wanalipia hao wananchi hakuna cha kujisifu hapo.
 
Wasalaam

Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya

Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu Mchamungu na padre

Shule nyingi kumbe pia zilikuwa za kanisa...bado huduma za afya maeneo mengi mikoani huko ni mengi kusema bila kanisa sijui kama nchi tungekuwa wapi

Pamoja na kuwa sitaki kudharau mchango wakanisa, hivi unajua Serikali inatoa mamilioni mangapi ya kodi zetu kwa kanisa kwa ajili ya kuendesha hospitali zake huku hizo hospitali wakifanya biashara kwa kutuchaji kwa gharama takriban zile zile kama hospitali za binafsi?
Lakini pia nakupa homework ufuatilie ni dhehebu gani waliongoza jopo la kudai uhuru hadi tukaupata mwaka 1961?
Ukishawajua, utatambua kuwa, kila dhehebu lina mchango wake tena muhimu tu...
 
Back
Top Bottom