Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Obama ana ndege. Marekani ina ndege?Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE
air tz iko wapi?Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
duh,sijakupataObama ana ndege. Marekani ina ndege?
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake , kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira zake, na hawa viongozi.
hii ndege ndio inayomfanya kila siku kiguu na njia kwenda kwenye matamasha , ndio! hizi ni kodi zetu hizi kwa nini tunyamaze?
nchi yenya watu mili 40 , haina vita ina madini na migodi mbali mbli ,ina maziwa na bahari ina vivutio vya utalii
lakini haimiliki ndege, suitaki kusema kuwa kuwa na ndege ndio uchumi wako una kuwa strong but this is the source of employment also , tunashindwa kufikiria .
hakua faida ya hii ndege zaidi ya kuktutia hasara tu kwa safari zake za mara kwa mara.unafikiri ndege isingekuwepo si angekuwa nchini anafuatilia bunge? iaal hajui hata kitu gani inachoendelea na
VIJANA WA SIKU HIZI WANASEMA MWACHE ALE BATA:
baba masawewewe unasahau kuwa kuna Mungu mtu alisema watanzania tule majani , lakini ndege ya mume mwenzake inunuliwe.
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
Elewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
Elewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.
yes, nyingi mno.... kuna kitu kinaitwa states flag carrier na sisi tunalazimishwa kununua ticket za delta, northwest airline etcObama ana ndege. Marekani ina ndege?
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
duh,sijakupata
Okay, umesema Rais wetu ana ndege lakini Tanzania haina ndege. Ukai blast serikali ya Kikwete.duh,sijakupata
Okay, umesema Rais wetu ana ndege lakini Tanzania haina ndege. Ukai blast serikali ya Kikwete.
Ndio na mimi nikakuuliza, nchi iliyoendelea kama Marekani rais wao ana ndege, air force one. Je, Marekani ina ndege?
Okay, umesema Rais wetu ana ndege lakini Tanzania haina ndege. Ukai blast serikali ya Kikwete.
Ndio na mimi nikakuuliza, nchi iliyoendelea kama Marekani rais wao ana ndege, air force one. Je, Marekani ina ndege?
hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tuNi vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.
Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?