Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Huu ni ukweli usio pingika. Watanzania wana sononeka sana kama walivyo sononeka kipindi cha Kifo cha Mwalimu Nyerere. Huwezi kuamini kuna Baadhi ya watu wamesema ni bora wakachoma vitambulisho vyao vya kupiga kura kwani hawajaona faida yoyote waliyo ipata baada ya kupoteza muda na mali zao wakijua wana kwenda kumchagua mtu wampendaye. Hii ni LAANA na Tusifanye Mchezo watanzania yatatukuta mambo makubwa sana. Manunguniko na kukata tamaa kwa watanzania Mungu atakuja kutenda miujiza yake.

Pole sana.
 
habari wadau..

naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa..

nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele..

hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania...

kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa
Acha zako labda ww sisi huku simiyu na ni nderemo. Labda arusha na moshi ndio mmekata tamaa
 
NI MASIKITIKO, VILIO na kama MSIBA mkubwa vile umeikumba TAIFA letu...!!

Watu wale wale waliotufikisha ktk hali mbaya na mbovu kabisa WAMERUDI MADARAKANI...!! Wako kwa 54 yrs, hali kila kona ni mbaya ya kutisha...!!!

Ni huzuni kuu, angalieni kila mikoa, huzuni tupu...!!😨😨
 
Wabunge waloshinda kupitia ukawa na act na viongoz wengine wazalendo wa nchi wakianza kazi yao rasmi....watie nguvu zao sana sana kupigania katiba mpya..hasa ile ya walioba kwa sababu kuna uchaguz mwingne 2020 nakuendelea.....bila ivo tutaendelea kuwa wawakilishi kwenye uchaguz mkuu na viongoz washind watakua wameandaliwa...........
Tumechoka kudanganywa kitoto na kudharauliwa kias hiki......
 
Let them cherish. to vote under the prevailing constitution is waste of time and resources. Nchi nyingi za kiafrica na arabuni ndio staili yao. However, It is the matter of time, hata utawala wa Rumi ulianguka, freedom is coming tommorow.

Utawala wa rumi! Naomba unipe somo kidogo
 
Watu wemelia sanaaa wana maumivu yasiyoelezeka nadhan tunahitaji busara kutoka hapa tulipo otherwise uzalendo wote umepote
 
Mmegeuka wapiga ramri, lakn duwa zenu ni uongo coz mlitangaza ushindi wa lowasa bado amepigwa

kichaa hujisifia werevu, mchawi hujisifia utaalamu, mvivu hujisifia kazi, mgonjwa hujisifia Nguvu Na Mwizi hujisifia UJANJA.
 
Watanzani wamechoka na wamekata tamaa ,lakini yetu macho,kushida kuna maelezo na kushindwa kuna maelezo
 
Majiji, mikoa, wilaya nyingi... ni msiba..!!

Watu hawaitaki kabisa CCM...!! TATIZO ni CCM...!! huu ni MSIBA...!!😨😨
 
Huu ni msiba wa taifa hapa arusha watu wamekata tamaa hawaamin kilichotokea kila mahali ukipita watu wanahuzuni sana
 
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.

Kazi bila kuwa na team work..ili afanikiwe ni lazima apate ushirikiano kutoka kwetu...kiukweli kwa goli hili hamna mwenye kuamini uongozi wake, maana kawekwa na chama sio sisi ndio maana Hana shangwe Kama wakati wa JK watu saa hizi wapi barabarani na ngoma..akipita tunatoka maofisini kupunga mikono..sasa subiri yeye uone wangapi watatoka..hahaha aibu mmedhulumu mnataka kujipa hali kwa mabavu!
 
Mkuu nachoshangaa mimi huku town wanaoshagilia sana ni wahindi na wachina, hawa tupo jengo hadi nashangaa wamefurahi kweli. Nadhani waliogopa EL angewazibia magumashi yao kaingia Kufuli wanajua dili zao za magendo haziguswi.
 
Huu ni msiba! hata magu analijua hili,anawakati mgumu sana kuongoza asilimia kubwa ya watu ambao hawajamchagua!
 
habari wadau..

naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa..

nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele..

hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania...

kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa


cuz am hapyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.......magufuli is the president.
 
Mkuu nachoshangaa mimi huku town wanaoshagilia sana ni wahindi na wachina, hawa tupo jengo hadi nashangaa wamefurahi kweli. Nadhani waliogopa EL angewazibia magumashi yao kaingia Kufuli wanajua dili zao za magendo haziguswi.

Ndio maana Africa kusini wananchi wanawatimua wenyewe watu wa kuja!
 
Back
Top Bottom