Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Kuna mmama wa ccm Jioni kala makofi baada ya kumzomea kijana wa chadema..Maza kabaki kaduwaa km kapigwa shot
 
Kuna mama amelia leo nimeshangaaKweli mtu mzima akilia kuna jambo!Nchi haina amani kabisa!
 
so sad aisee. ila Mungu atatuhifadhi msihofu makamandan
 
Let them cherish. to vote under the prevailing constitution is waste of time and resources. Nchi nyingi za kiafrica na arabuni ndio staili yao. However, It is the matter of time, hata utawala wa Rumi ulianguka, freedom is coming tommorow.
 
Ukweli watu wamekata tamaa kabisa, mateso miaka mingine 5
 
Hakuna amani kabisa. Namwona hata Salim Kikeke wa Bbc akitangaza hayupo kwenye mudi yake kabisa. ndiyo matunda ya uoga wetu watz

mkuu nimemuona na mimi mpaka akaniongezea simanzi amepoa sana leo hana furaha kabisaa wala bashasha zake sikuziona leo.....
 
Ni ajabu anatangazwa mshindi wa kiti cha urais watu wote wanainamisha vichwa chini na kujiziba midomo,niliteggemea kuona watu wakishangilia but watu wamehuzunika mno.
 
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..
 
Poleni sana ukawa jahazi lenu limezama jipangeni upya msirudie kuwapaka wanja mafisadi sisi wananchi tumewapaka pilipili pokeeni salamu zangu za rambirambi
 
Mimi ninasema navnitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwevkwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Munguvaishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..

nasema AMINA
 
acheni kushabikia kitu ambacho hakipo katika nafsi yako. jipange vema kwa kazi zako hapo raha ndo itakuja we katika pocket yako no mia halafu unataka ufurahi na nini? tuache uongo pengine hukupiga hata kura cha ajabu unajisikia vibaya.. kwa lipi?
 
Leo nimepigana na lecture class kisa alitutusi watu wa ukawa eti kuwa si wapumbafu. nikamfata mbele tukazijapa but iliisha kisela coz mambo yataka kuzagaa chuo chote
 
Kweli Mkuu, ni msiba flani hivi.. yaani hata hao sisiem wanaoshangilia ni kama wanajifichaficha, hata wao wanafuraha lakini haitoki moyoni.. Tumeletewa rais kutoka mfukoni mwa mtu!! Ila Mungu yupo, na anaishi na wala hajawahi kwenda likizo!! Anaona haya yote, anatutazama from a distance!! Niliwahi kuumizwa sana na ushabiki wa mpira nikafanikiwa kupunguza, ila hili la siasa sijui itakuaje!! kila mtu ana huzuni leo!!
 
Itabaki hivyo lowassa alikua ndani ya mioyo yetu" na atabaki no matter wat. Kitaa kumetuliaa hom ndio usisema mshua tu ndio anabonga bonga"tunamuangalia tu. Lets hope ipo siku we r young..
 
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..
Mkuu hayo maneno ni mazito. Anyway, mtu atavuna alichopanda
 
Binafsi nimesoma kwa shida sana, yaani nikikumbuka safari yangu ya maisha ya kielimu naumiaga sana, roho inaniumaga sana, leo amejitokeza mtu anaetaka kusomesha watu bure wachache wanafanyia fitina bila kujali ni vijana wangapi wanahangaika na maisha kwakukosa pesa ya kula tu sembuse shule!! Watanzania sisi ni maskini sana, Asilimia kubwa ni watu wa tabaka la chini kabisa, tumeumizwa sana!! Ila ipo siku tutakaambiwa hii ni Nyekundu tutasema hapana hii ni Njano!!
 
Back
Top Bottom