Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Walaniwe watu wote walio ipa kura CCM.

Wewe sio mama yetu, jifurahishe, ila kama ni laana kwa sababu tumemchinja tena huyo jamaa mwenye nyota ya kukatwa, hewalaaa, napokea laana yako kwa niaba ya wachukia mafisadi, na awe mwangalifu, wachunga ng'ombe wanaweza nao wakafanya yao, WAKAKATA, hamna jinsi hapa!
 
Ni kweli mkuu maana fisadi eddo angeturuhusu kuvua kwa KOKORO NA BARUTI Alituahidi

mkuu tumia akili tu ya kawaida..
usitumie ya degree ni kubwa hapa
dagaa tangu lini kuvuliwa na nyavu za matundu makubwa?
tuchague viongozi wenye busara sio wa kukurupuka..
ukiona wife anatoka kichakani ghafla na mwanaume mwengine akatoka kichaka kilekile upande wa pili..
tutumie busara ya Nabii Suleiman kufanya maamuzi..
 
Wape wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao

Muda mwingine unaweza kutamani kulia.. Why watu wana fikra kama hizi mbele ya maslahi mapana ya Taifa? We have a long way to Go
 
habari wadau..

naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa..

nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele..

hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania...

kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa

Ni mtazamo maana hata social media unawafuata wale wanaokuwa na mtazamo mmoja na wewe. Ila wengine mtaani kwetu na waliotuzunguka na huko social media wana furaha sana.
Huwezi kuchukua perspective yako uka generalize kwa nchi nzima!
 
mkuu tumia akili tu ya kawaida..
usitumie ya degree ni kubwa hapa
dagaa tangu lini kuvuliwa na nyavu za matundu makubwa?
tuchague viongozi wenye busara sio wa kukurupuka..
ukiona wife anatoka kichakani ghafla na mwanaume mwengine akatoka kichaka kilekile upande wa pili..
tutumie busara ya Nabii Suleiman kufanya maamuzi..

Kumbe alichoma nyavu za dagaa??Sasa alikuwa anapata yeye faida gani kufanya hivyo mkuu?
 
Kweli mpaka maofisini tena ofisi nzito furaha zilianza kutoweka tangu Matokeo ya wizi yakijumlishwa. Ni majonzi.

Hao wa maofisini wanaogopa uvivu wao ndio kwisha.. HapaKazi Tu
 
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.


Hata ss hatuhitaj kuchekeana, ila wenye ajira na biashara kupiga kazi ni slogan yetu ya siku zote, sasa kama hauna ajira wala biashara neno/slogan ya '' HAPA KAZI TU'' inakuhusu nini unasukuma siku kwa kuungaunga na kila siku unaelekea chuo kama mwanafunzi kumbe unaenda kujiunga kifurushi cha chuo nani sasa hapa ambaye ATAISOMa NaMba?
 
hata mbeya nimeona kimya tu....ingawa kuna kikundi kidogo ambacho watu walikuwa kama wanakishangaa tu kwa kufurahia matokeo ya Magufuli kuwa Rais, nimeona kidogo pale Lumumba na Chato kwa Mheshimiwa. Ila pande zingine nyingi watu wapo tu hawana jipya, inaonekana wamekata tamaa na hawaoni kama kuna matumaini...nimeamini EL alipendwa sana, yaani hapa JPM ajitahidi tu kuwaridhisha watu....yaani hakuna shangwe nchi nzima...why??? wajitafakari.

CCM wamezoea kushinda tangu uhuru wanashinda - hivyo kwao ushindi ni suala la kawaida kwao lazima kuwa cool -watu wanawaza kazi hayo mengine umbeya
 
Nilikuwa maeneo ya Mwenge nilichokiona nimebaki mdomo wazi!watu walibaki kimya kwa mshangao!hakuna aliyeshangilia!Magufuli una kazi kubwa ya kurudisha imani kwa watanzania!

Ukiona wapo kimya na wanashangaa ujue ndio wanaisoma namba
 
Hata huku ni kimyaaaaaa jamani raisi hata watu hawafurahiiii tatizo sio maguful tatizo ni ccm

Huo ni ukimya ili namba isomeke vizuri, HapaKazi Tu, hadi itv mbwembwe zimekwisha
 
Chama cha mafisadi ni chadema.
MNAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAITA CCM MAFISADI wakati viongozi wenu hawathubutu kutamka hivyo, mbona mnajigeuza KUKU mkifukuzwa dk1 mmesahau kama mlifukuzwa cnyie mliokuwa mnalia fedha za wavuja jasho wa Tanzania zimeliwa na list ya wa2 (11)mkaharaaaaaaaa , mara wamegeuka Malaika mliowasafisha wenyewe na kutuacha wasafi kama vp tuchafueni tena , MNAPOSEMA BAKISHENI AKIBA YA MANENO NYIE MNAMALIZA MTAMDANGANYA NANI TENA WANAFIKI HAMNA UCHUNGU WOWOTE NA NCHI HII
 
Nchi imepasuka vipande viwili. Hivyo amani haipo. Furaha imetoweka kwa walio wengi. Hivyo Magufuli anawakati mgumu sana
 
ni bora ukakosea kuoa, kuliko kukosea kuchagua.....

Maana mke waweza kumuacha baada ya siku tatu,,,,
 
Hiyo shangwe umeiona wapi? Kama sio sehemu chache tu.

Nchi ipo kwenye maombolezo lakini hilo watu wa CCM hawalioni

Lindi hadi Kagera, Dar hadi Kigoma, watu wamepigwa butwaa

Walio wengi mpaka sasa wameshindwa kuamini wanayoambiwa

Wanasubiri Tume itoe matokeo halali na kuwaomba radhi wananchi

Hilo ndilo tumaini pekee lonalowafanya wazidi kuwa wavumilivu.
 
Jana ilitakiwa iwekwe kwenye kumbukumbu ya siku mbaya ambazo watanzania wengi waliwahi kusononeshwa
 
Back
Top Bottom