Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Bora Dr. Slaa tu angegombea. Lowasa kugombea imenifanya sasa ivi sina furaha kabisa. Dr. Slaa angeshindwa afu ningenuna kidogo tu leo ningekuwa poa
 
Mjini MTR kule kwa wenye jambo lao, bado wanapiga nyimbo za Lowasa
 
Gufuli mwenyewe hana furaha pamoja na ushindi wa magumashi!
 
Njia pekee ni kutafuta nafasi yako ili ku-exploit opportunities as they come in hakuna haja ya kukosa raha wakati ni vitualy impossible kufanya chochote kwa sasa. Bora kukubaliana na hali life goes on ndo mpango mzima vinginenvyo unaweza kujiuta unaomba mabaya yalifikie taifa hili changa liliojaa vituko vya kila aina
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.

Watu au wewe huna furaha!
Sisi huku tuko na furaha tu
 
Nina Kawaida Ya Kuwasha Tv Alfajiri Na Kusikiliza Vichwa Vya Habari Vya Magazeti(ITV). Leo Familia Imenishangaa Kuona Hadi Naenda Kazini Tv Haijawashwa.

Mkuu sijaangalia TV tangu NEC watangaze JPM mshindi, kifupi nna huzuni sana.
 
Siku kama ya leo, naikumbuka tarehe 14/15 mwezi wa 10 mwaka 1999. Ni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa - Nyerere kilichotokea ughaibuni. Watanzania ilikuwa kila mmoja wetu tulipokutana njiani nyuso zetu ziligubikwa na huzuni na majonzi. Jana tarehe 29 na leo tarehe 30 baada ya Magufuli kutangazwa mshindi wa Urais, tizama nyuso za Watanzania utabaini hali ya huzuni iliyo ndani ya nafsi zao. Nilitegemea kuwe na shamrashamra za ushindi kama wakati mzee wa ari mpya, kasi mpya lakini badala yake hata waliohudhuria ukumbini leo makofi ya kushangilia ushindi yalikuwa yakiombwa na mc. TUTAFAKARI JAMANI. NI NEEMA YA MUNGU TU IWEZAYO KUTUVUSHA NA VINGINEVYO MACHOZI YETU YAFIKE MIGUUNI KWA MUNGU

Mmhh!! Maneno yamejaa hekima na huzuni ndani yake. Hakika Neema ya Mungu yaweza kutuvusha toka katika bonde hili la huzuni kuu.
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.
Tunasubiri Seif atangazwe rais tushangilie hadi CCM na Magufuli washangae.
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.

Tunaojitambua tuna amani na furaha tele. Msiojitambua kazi kwenu. Kufanya kazi kwa bidii ni kwa faida yako mwenyewe. Ukizembea itakula kwako
 
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.
Ukosefu wa amani moyoni hupunguza ufanisi wa kazi.
Sisi ni binadamu sio vyuma.
 
Msiwe na wsws maadamu jijitumechukua spitali msokoni kutakaa sawa wakuu inauma ila mzee amewaonyesha wezi kwamba wananchi wameichoka ccm
 
ni kweli hata mimi sina furaha kbs mpaka nimekonda!
 
Back
Top Bottom