Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

Rais wa tume siyo sana na Rais wa WaTz. Mimi ni depression.
 
Tafakari majimbo ccm yaliyoshinda vs ya ukawa ndio jibu sahihi.

Tafakari majimbo ccm yaliyoshinda vs ya ukawa ndio jibu sahihi.
Tafakari mabox yaliyokamatwa, tafakari mabox ambayo yalipitishwa wakati tumeenda kusubiri matokeo, tafakari manipulation za tume. But if you are blinded, you will never see the truth.
 
Ukosefu wa amani moyoni hupunguza ufanisi wa kazi.
Sisi ni binadamu sio vyuma.
Na haiwezekani watu wote wawe na furaha maana siku zote anayeshindwa husononeka. Hivyo sitarajii mtu wa ukawa kuwa na furaha kwa JPM kuwa rais. Ni kawaida.
 
Trying to fool yourself
You must learn to accept other people's opinions, otherwise if they also consider about what you say, like what you have just said here, you are no better but a fool.
 
Elimu tupa kule...au vipi?
Kwa sababu uliaminishwa kuwa 1. elimu 2. elimu 3 elimu? Hata wewe huenda umepata shahada au unesoma kwa sasa, na unajua kabisa kuwa watu wengi wanapata shahada kuliko hata kipindi cha nyuma. Unasahau hata mpango wa kuwapa wanafunzi mikopo umesaidia wengi kusoma chuo kikuu, ila kama unataka elimu bure 100% na hujiulizi kodo unlipa kiasi gani hilo nijambo jingine.

Kiuhalisia nchi inahitaji mabadiliko, ila sio kupitia EL. Right objective with a wrong and risky strategy.
 
Majonzi yataisha mtakapoona mabadiliko ya kweli ya Dkt. Magufuli. Sauti ya wengi imejidhihirisha kwamba ni ile ya walioamua kumpigia kura za ndio Magufuli. Haitaingia akili kutaka kuwaaminisha watu kwamba sauti ya wengi ni ile yenye mapenzi na lowasa na ukawa ya mbowe na mbatia. hata sisi ambao hatuko tz tuliona nyomi kwa magufuli na lowasa pia so maamuzi ya waliopiga kura yamedhihirishwa na hesabu za kura.

Hesabu za kura, hahaaaa. Sawa.
 
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.

Subiri mpaka atakapoanza kubadilisha slogan kama yule aliyemtangulia!!!
 
Kila mmoja wetu ni marehemu mtarajiwa, na wala mimi sijathubutu kumtolea kejeli yo yote kwa sababu ya ugonjwa wake. Bado suali langu hujalijibu, kwani ikulu kazi yake ni very demanding kwa nini mtu analazimisha?

By the way mimi nimepiga kote kote, kwa yule aliyenifaa ndiye nilimpigia.

Nadhani unatakiwa kumjua martin Luther,kila mtu ana dream yake na ukiwa na dream you must work hard to fulfil it.so sioni sababu ya kejeli hapo..Mr mihogo kagombea mara ngapi,Maalim Seif mara ngapi??they have their goals and they wish to achieve.Tatizo letu watanzania hatufanikiwi coz tuna hulka ya kuchekana,kukejeliana na kuvunjana moyo na kamwe hatutafika mbali kwa huu mtindo.Again unajua how much Hao walioshinda wamestruggle kufikia malengo yao???Am telling you kama ungeletewa video ya kila mmoja ungebaki midomo wazi bt mnabaki mkimshambulia mtu mmoja
 
Nchi haina furaha? how? sema wewe ndo huna furaha.Sisi wengine roho zetu kwaaaaatu.
 
Habari wadau.

Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.

Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.

Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.

Nilikua Dar, tuko bar tunaangalia tv ya kuapishwa kila mmoja amekodlea macho ila you an tell anapocomment kuwa hana raha. nimeenda uwanja wa ndege nikakutana na waliotoka Mwanza wanazungumza hali hiyohiyo- kuna ukimya usiyo kawaida unaoendana na kukata tamaa.Ndiyo unaweza ukaukataa huo ukweli kiushabiki lakini haisaidii- ni ukweli ambao rais hana budi kuona ni vipi ashughulike ha hali hii. kuficha kichwa kwnye mchanga kama mbuni sidhani kama itasaidia
 
Njia pekee ni kutafuta nafasi yako ili ku-exploit opportunities as they come in hakuna haja ya kukosa raha wakati ni vitualy impossible kufanya chochote kwa sasa. Bora kukubaliana na hali life goes on ndo mpango mzima vinginenvyo unaweza kujiuta unaomba mabaya yalifikie taifa hili changa liliojaa vituko vya kila aina
ikitokea maalim katangazwa mshindi znz..akavunja muungano ..makomeo atakuwa raisi wa chato?...ndio Maana wakina Lodi lofa wako tayari damu imwagike. ..tafakuri
 
Nadhani unatakiwa kumjua martin Luther,kila mtu ana dream yake na ukiwa na dream you must work hard to fulfil it.so sioni sababu ya kejeli hapo..Mr mihogo kagombea mara ngapi,Maalim Seif mara ngapi??they have their goals and they wish to achieve.Tatizo letu watanzania hatufanikiwi coz tuna hulka ya kuchekana,kukejeliana na kuvunjana moyo na kamwe hatutafika mbali kwa huu mtindo.Again unajua how much Hao walioshinda wamestruggle kufikia malengo yao???Am telling you kama ungeletewa video ya kila mmoja ungebaki midomo wazi bt mnabaki mkimshambulia mtu mmoja

Shida ya sisi watz hatupendi kuambiwa ukweli, tunataka tupewe sifa hata kama hatuna uwezo.

Call a spade a spade dear, na hapo ndiyo utafanikiwa na ndipo utakapotimiza hizo ndoto zako. Lakini hizo ndoto nazo lazima ziwe na mwelekeo.

Out of topic: Na huyo Martin Luther King wako ambaye unadhani labda sijawahi kumsikia, lakini nikuulize tu, umewahi kuona posters za civil rights movement hapa nchini? Hiyo ilikuwa ni kwenye mid 1960s sidhani kama wewe ulikuwa umezaliwa miaka hiyo lakini sisi tumeziona.
 
Kweli kama vile watanzania wamepatwa na msiba natamani kwenda kuishi nje na tanzania nikikumbuka ccm ilipotufikisha na tena ndio watawala nahisi kuugua ilamungu anisaidie na awasaidie watanzania wote waliofikwa na hali hii ya kutokuwa na amani awe faraja kwa watu wote amen.
 
Mimi ninasema nanitasema..Alaaniwe JANUARY MAKAMBA KWA KIPIMO ALICHOPIMIA WATANZANIA JAMII YANGU...January ulaaniwe na kwa kipimo hichohicho tena chakusukwa sukwa ndicho utakachopokea siku za usoni....January ulaaniwe kwa uratibu ulioufanya kwenye sekta ya mawasiliano mpka mkafanikiwa kukwapua haki za wavuja jasho...km Mungu aishivyo,haki haitapotea,KAMA KURA ZOTE MLIPATA KIHALALI BASI NA IWE BARAKA KWENU KM MTAJI WAKUBARIKIWA KTK MWANZO WENU...LKN KM MLIPATA USHINDI KWA HILA YEYOTE JANUARY MAKAMBA NAWENZAKO NASEMA KURA ZETU NAZIWE LAANA JUU YENU NA ipatilizwe kizazi chenu chote..

Na watu wote waseme Amina!
 
hizo ni dalada za wapi Arusha au Nairobi? Mbona sehemu zingine zote kuna shamrashamra za fijo na vigelegele?
 
Back
Top Bottom