Imeharibikauwe!! usiwe!!! hayo ni machozi ya samaki tunasongambele na Dr Magufuri
Sina raha kabisa ,kila saa nalia kumkosa Lowassa kanifanya niichukie siasa
Sina furaha
Msiba uko ukawa kwa wachache. Poleni mfe wenyewe ss ni HAPA KAZI TUHabari wadau.
Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.
Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.
Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.
Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.
Nina furaha kubwa.