Dr Slaa hajawah **** my favorite never. Cna chama mm ni mfuasi wa mtu 2005 nilkua kwa kikwete, 2010 no option ckuvote. 2015 lowassa.
Mkuu kuna neno umeandika kwa makosa Jaribu kusoma tena.
Watu 75% ni kama msiba vile...!!!
MASIKITIKO TUPU...!! JK anatoa vijimbe tu, taarab tupu anaongea leo.. yaani hii aibu ya millenium..!!😨😨😨
Hahaaa msiba wa wapumbavu na malofa...mtanyooka tu
Acheni kuleta propaganda zenu hapa za kijinga, wengi waliomchagua Dk Magufuli wanafuraha, ninyi watu wa Dar, Arusha, Mbeya na Moshi mjini ndio hamna furaha. Mikoa mingine mingi iliyobakia watu wanafuraha sana nikiwemo mimi na wengine wengi. Dar sio Tanzania nzima, Dar sehemu tu ya Tanzania. Kama hamna furaha, basi kunyweni sumu ama chukueni kamba mkajinyonge. Wapumbavu wakubwa ninyi. Tumemchagua Magufuli na sasa ni kazi tu.
Hahaaa msiba wa wapumbavu na malofa...mtanyooka tu
watu milion 8 meno nj...wewe ukawa subiri 2030!!
eti nchi haina furaha wakti mm hpa nimechinja beberu!!
Hata mimi sina furaha na ushindi wa JPM but lets move on ...Habari wadau.
Naona watu wote wanaonizunguka hawana furaha kabisa ni kama watu waliokata tamaa.
Nikiangalia status za watu social network, ofisini, kwenye dala dala.. na hata mtaani kwangu watu wapo kimyaaa wana huzuni tele.
Hii ni changamoto kubwa sana kwa magufuli kufanya kazi kwa bidii kurudisha furaha kwa mamilion ya watanzania.
Kiukweli leo ni kama kuna msiba wa taifa.
Mkuu hata mimi roho imeniuma sana bt post yako imenifanya walau nicheke MunguKuna dude la CCM limekuja linaniuliza eti vipi , nikamwambie naomba usinitafitie kesi, nitakufumua nikafie jela.
Alafu nisikie pumbavu lolote linakuja kuomba pesa ya kununua mbegu za shamba eti nitakupa mazao yakikomaa, pumbavu, nenda kapige push up Lumumba upate pesa.